Naomba Kusaidiwa Jibu la Swali Hili Wanajamvi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba Kusaidiwa Jibu la Swali Hili Wanajamvi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Naytsory, Aug 2, 2012.

 1. N

  Naytsory JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 1,590
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  1. a/ Tanzania ni tajiri kwa Wabunge, Mawaziri na wateule wote wa rais tu? b/Tanzania ni maskini kwa walimu na watumishi wengine wa ngazi za chini tu? Naomba kusaidiwa.
   
 2. MAN OF CHANGES

  MAN OF CHANGES JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2012
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 508
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  nalo hilo neno
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Usifanye kosa tena 2015,chagua CDM!
   
 4. A

  African teacher Member

  #4
  Aug 2, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  (a)ndio jibu sahihi kiongozi'watatutambua 2015,afu tyme hzo hawa 4m1 si watakuwa wametimiza miaka 18,sasa watacheza nibebe bila kupenda na matambi yao
   
 5. A

  ADK JF-Expert Member

  #5
  Aug 3, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 1,150
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Kumbe majibu unayo pigia mstari
   
 6. G

  Godwishes JF-Expert Member

  #6
  Aug 3, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Cku zao znaesabika.Cha msing tuzid kuomba uhai.
   
 7. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #7
  Aug 3, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  hili linaitwa swali la mwongozo.li-frame upya upate namna nzuri ya kuliuliza...
   
 8. Adharusi

  Adharusi JF-Expert Member

  #8
  Aug 3, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 10,633
  Likes Received: 3,014
  Trophy Points: 280
  Fungate ya Uhuru
   
 9. d

  danizzo JF-Expert Member

  #9
  Aug 3, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tanzania ni tajiri au tajili kiujumla. Ila kila tajili/tajiri pia uwa na umaskin wake kwa namna tofauti. Watanzania wengi ni maskin wa fikla. Tunaweza wote kua matajiri/tajili sekta zote ila tu tukitaka wote.
   
 10. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #10
  Aug 3, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Ndio...
   
 11. y

  yohanakomaga Member

  #11
  Aug 3, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  aliyeshiba hamkumbuki mwenye njaa.
   
Loading...