KUBENEA: Nipo tayari kufa lakini nitaendelea kutetea haki za watanzania mpaka mwisho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KUBENEA: Nipo tayari kufa lakini nitaendelea kutetea haki za watanzania mpaka mwisho

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Simba mnyama, Aug 3, 2012.

 1. Simba mnyama

  Simba mnyama JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 14, 2012
  Messages: 348
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  "Mimi sioni kama gazeti la Mwanahalisi linaandika habari za uchochezi kama zinavyo daiwa lakini hiyo ni njama ya mtu ambaye analengo la kutaka kuwafunga mdomo waandishi wa habari ili wasieleze mambo ya kweli jambo ambalo halikubaliki," alisema Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Hali halisi , inayochapisha Gazeti la Mwana Halisi, Saed Kubenea, na kuongeza kuwa siyo vyema kulifungia gazeti hilo kwani habari zinazoandikwa zinafuata maadili na taaluma ya uandishi wa habari.  "Nipo tayari kufa lakini nitaendelea kutetea haki za watanzania mpaka mwisho wangu,"

  Chanzo: http://www.mwananchi.co.tz
   
 2. M

  MTK JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 6,960
  Likes Received: 2,837
  Trophy Points: 280
  Hivi hii trend ya Watanzania wengi siku hizi kujiapizaapiza! mpaka kieleweke, niko tayari kufa, mpaka tone langu la mwisho la damu, mbele kwa mbele; je ni ishara za watanzania kukata tamaa au kushamiri kwa mfumo wa utawala kandamizi na wa kibabe?!

  Is it amaggedon, epocalypse now or a prelude to East african spring a' la Arab spring?! God save our country.
   
 3. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  kukata tamaaa...ndo ikijaa maji huyamwaga mwingine
   
 4. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #4
  Aug 3, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Watu wamechoka na iko siku wote wataacha magari na kutembea njiani huku kila mmoja akinena kwa lugha hapo itakuwa too late na polisi watakuwa mkumbo huo huo na mahakama nk sijui itakuwaje
   
 5. Think

  Think Member

  #5
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 27, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sio lazima ufe ndo watu wakujue kama umefanya makubw au la, democrasia inapopotea zipo njia nyingi za kudai, usikate tamaa kubenea kumbuka dunia watu wanapita. tanzania sio mali ya mtu mmoja ni bali ni mali ya MUNGU kwa watanzania wote
   
 6. Msalagambwe

  Msalagambwe JF-Expert Member

  #6
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Change is inevitable.
   
 7. MAN OF CHANGES

  MAN OF CHANGES JF-Expert Member

  #7
  Aug 3, 2012
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 508
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  MUNGU akupe nguvu na hekima zaidi Kubenea
   
 8. MAN OF CHANGES

  MAN OF CHANGES JF-Expert Member

  #8
  Aug 3, 2012
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 508
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ni kuckoka na kupoteza matumaini na viongozi
   
 9. sikafunje.N

  sikafunje.N Member

  #9
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aluta kontinua... kaka. wengi tupo nyuma yako!
   
 10. Mpitagwa

  Mpitagwa JF-Expert Member

  #10
  Aug 3, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,296
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Tatizo mahakama imekuwa chaka la serikali vinginevyo tungekushauri uende mahakamani ukadai haki yako ya kufunguliwa gazeti lako.
   
 11. denoo49

  denoo49 JF-Expert Member

  #11
  Aug 3, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 5,648
  Likes Received: 5,242
  Trophy Points: 280
  unadhani ni njia gani mbadala iwapo kalamu na makubuliano ya mezani vimeshindwa. Mbona historia hipo wazi ya wapigania haki kuwa ni kupoteza uhai au kumwaga damu yao pale kalamu inapogoma.
  My take. A guy he iz right, kwa aliyoyanena. Lord av mercy on him.
   
 12. sabasita

  sabasita JF-Expert Member

  #12
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
   
 13. Buntungwa

  Buntungwa JF-Expert Member

  #13
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 343
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  mkuu kati ya magazeti nayopenda kuyasoma ni pamoja na mwana halisi nahisi serikali inahofu kuwa wananchi wamefunguka na 2015 haturudi nyuma na sisi tukishika madaraka lazi mali zote walizogawana tuzirudishe kwa wananchi
   
 14. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #14
  Aug 3, 2012
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,404
  Likes Received: 3,732
  Trophy Points: 280
  Siwaelewi serikali,
  hivi kati ya Kubenea na waliomtesa Dr. Ulimboka, nani mchonganishi...??? By the way, uchonganishi ni nini? Kusema ukweli kuhusu yaliyotokea au ...?? Kwani, kukaa kimya bila kuripoti kilichotokea nao si uchonganishi..??? Kuongea tofauti na hali halisi si uchonganishi??
   
Loading...