Kamanda Nico na Waziri Majaliwa live on star tv - Mgomo wa walimu

Ringo Edmund

JF-Expert Member
May 10, 2010
4,879
1,125
wadu angalieni star tv jinsi waziri na kamanda wanavyojadili mgomo wa waalimu
nawasilisha.
 
Kamanda yupi huyo.ccm hakuna makamanda kuna MIKANDA sory Makada.cdm ndo makamanda
 
Huwa inaleta ukakasi ukisema mfano "kamanda Nape".

Ila inapendeza ukisema kada Nape.
 
Majaliwa simuelewi anachoongea,mara TSD,mara raisi anawaheshimu walimu, mara kuboresha mazingira, yaani ni siasa tu!
 
Kanifurahisha Kopoka aliposema serikali inayojiona kuwa haiwezi majukumu yake kwa nini iendelee kukaa madarakani!?
 
Majaliwa simuelewi anachoongea,mara TSD,mara raisi anawaheshimu walimu, mara kuboresha mazingira, yaani ni siasa tu!

Nasikia na yeye ni mwalimu pia lkn leo yupo maisha safi anakandia taaluma yake kweli ni laana
 
mtaala wa japa,waalimu ndo wanaongoza kwa mishahara na posho nzuri.na ili uwe mwalimu,unatakiwa upaform vizuri,hapa kwetu tatizo ni mtaala,ubadilike mtaala ndo tutaheshimiana.
 
na huu mtazamo wa wazazi wengi kuwa teaching is the last option to their son and doughters ndo unazidisha madharau toka serikalini.
 
wadu angalieni star tv jinsi waziri na kamanda wanavyojadili mgomo wa waalimu
nawasilisha.

Nimemkubali teacher Ngowi; serikali sikivu itasikia na kukimbilia mahamani kuhalalisha 90% kushindwa kwa ufaulu wa watihaniwa. KUSHINDWA KWA ELIMU == KUSHINDWA KWA TAIFA == TAIFA LA MAMBUMBUMBU
 
Back
Top Bottom