Walimu ukombozi wenu ni 2015, basi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Walimu ukombozi wenu ni 2015, basi!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rutakyamilwa, Aug 3, 2012.

 1. R

  Rutakyamilwa JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2012
  Joined: Feb 27, 2009
  Messages: 1,869
  Likes Received: 1,161
  Trophy Points: 280
  Mna uwezo wa kuleta mabadiliko 2015. huko mlipo vijijini kila mmoja wenu akipata nyumba 100 kuanzia leo akapata kura zake kwa chama kitakachoonekana kujali maslahi yenu, then ukombozi tayari. vinginevyo mtadharauliwa, mtalipwa laki 240,000Tsh mpaka ahara kama sio jahanamu!
  Mahakama hampati chochote, si mnaona yale yale ya madaktari.
   
 2. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,079
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Well said mkuu,silaha wanayo ila wananyanyasika sana!!Shauri yao bhana wakileta masikhara 2015 imekula kwao,watauza ubuyu mpaka wachakae!!!!!Magamba yanawadharau kama mavi!!!
   
Loading...