Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa mdau yeyote wa Arusha mwenye taarifa kamili em anijuze tafadhali ..., maana nimebaki kujiuliza, ni ile vita na Malawi ndo ishaanza, ama ni Al-Shaabab washaanza yale mambo ...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekuwa msikilizaji mzuri sana wa Arusha mambo (online), lakini sasa naona siipati, tafadhali wahusika mtusaidie kwa hilo ili tuendelee kupata habari.Ahsante
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo ni siku ya kumi hakuna maji Morogoro,maeneo kama ya Kola,Bigwa,Nane nane nk ni makame kabisa na hakuna hata tone la maji,mamlaka husika (MOROWASA) imekaa kimya haitoi sababu yeyote wala...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi vyoo vya kulipia jijini dsm kweli vinakidhi mahitaji ya wakazi mil 4?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani kuna swali moja huwa najiuliza,hivi ni kwanini barabara ya kimara inabomolewa baadhi ya maeneo na ilikuwa nzuri?Kama ni kupisha ujenzi wa njia ya magari yaendayo kasi kwanini hilo...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Dada mmoja ambaye alikuwa anakaribia kufunga ndoa na mchumba wake, alikuwa na rafiki yake kipenzi ambaye alimshirikisha katika mambo mengi sana. Na wiki moja kabla ya ndoa, rafiki yake alimletea...
9 Reactions
37 Replies
4K Views
nijuavyo mimi ni kuwa CT scanner inaweza kupatikana kwa bei ya $80000 je brand new land cruiser ni sh ngapi? KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
0 Reactions
72 Replies
7K Views
Kesi ilikuwa imetatajwa leo sas imehairishwa mpaka kesho. Kutokana na jaji muhusika kutokuwepo.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Is the leadership vaccum caused by type of leaders,leadership system, or constitutional aspects?kenyans are stretching forward daily, what is the uchawi behind?
0 Reactions
1 Replies
762 Views
Wataalamu nisaidieni. Nataka mtu wa kunielimisha kuhusu HYDROPONICS. Ningependa mtu atakayenielewesha namna ninavyoweza kutengeneza bustani za hii.
0 Reactions
0 Replies
842 Views
Nimesikia Nape anaanza ziara mkoa wa Arusha na anaanzia Monduli, hii imekaaje?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
False Comparisons and Why? By Marjorie Mbilinyi The Citizen on Sunday 5th August 2012: ‘Kikwete’s pledge on development plans’; opening speech at two day cabinet retreat on the...
0 Reactions
1 Replies
932 Views
Kila mtu mwenye akili timamu anajua fika kwamba dunia inajiandaa kwa vita vya tatu vya ulimwengu. Ukifuatilia ***** ***** za Marekani dhidi ya Urusi na kutawanya kwake makombora katika bara Ulaya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Enzi za Mwalimu JK Original wakati Tanzania inaingia vitani na Uganda kufuatia uvamizi wa majeshi ya Idd Amin, JK Original akiwa ndio Amiri Jeshi Mkuu watoto wake 3 wa kuzaa yeye mwenyewe...
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Habari yenu wana jf. Mimi ni kijana wa miaka 25 nina ndoto ya kugombea ubunge huko mahenge katika jimbo linaloongozwa na mh. Selina kombani wa ccm. Mimi ni mwanachama wa chadema, ila sina elimu ya...
0 Reactions
2 Replies
967 Views
Nimepata taarifa kuwa hali si shwari huko Rwanda, insecurity has intensified. Pitia link hii FYI I recommend this Embassy's webpage -- Security Situation in the DRC | Embassy of the United States...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
nyumba ya jirani inawaka moto....badala tujiandae kuuzima tanzania inajimiminia petrol kuukoleza. Mombasa na Nairobi si salama tena kwa majirani zetu Kenya kutokana na ukarimu wa mda mrefu kwa...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
wakati serikali inahangaika kutuaminisha kuwa mwanahalisi ni gazeti la uzushi na uchochezi asilimia kubwa ya wananchi ninaokaa nao huku mitaani wanasisitiza kuwa WANALIAMINI MWANAHALISI KULIKO...
4 Reactions
49 Replies
4K Views
Kwa haraka haraka niliyoyaona kwenye picha ya Marehemu. 1.Nguo zake zimejawa vumbi? 2.Pale chini zimeonekana damu? 3.kiti kimetumika sehemu ambayo haikuitaji kiti? 4.Urefu wa Marehemu na...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni mara yangu ya kwanza kuomba ushauri kabla ya kuomba ushauri pia kwa jamii inayonizunguka. Ninachomba ushauri ni kuhusu jinsi nitakavyoweza kufikia ndoto yangu ya kuama kutoka katika ualimu na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…