Kuna watu tunaimani na mwanahalisi kuliko hata serikali yetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna watu tunaimani na mwanahalisi kuliko hata serikali yetu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Determine, Aug 6, 2012.

 1. D

  Determine JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 257
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  wakati serikali inahangaika kutuaminisha kuwa mwanahalisi ni gazeti la uzushi na uchochezi asilimia kubwa ya wananchi ninaokaa nao huku mitaani wanasisitiza kuwa WANALIAMINI MWANAHALISI KULIKO SERIKALI YETU
   
 2. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Wewe binafsi una mawazo yepi?
   
 3. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,896
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  ata ukiwa na imani ya kuhamisha milima, huwezi kuiamini hii serikali. bora hata uwaamini wazee wa sani, uwazi na risasi
   
 4. D

  Determine JF-Expert Member

  #4
  Aug 6, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 257
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  MWANAHALISI ndo usalama wetu wa taifa,TISS imejaa wahuni wanaolinda wahuni wenzao na sio mali zetu kama taifa
   
 5. M

  Mantisa Senior Member

  #5
  Aug 6, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Binafsi namkubali sana Kubenea. Kama angekuwa mzushi tindikali walimmwagia ya nini?
   
 6. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #6
  Aug 6, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Is it what you think dude?
   
 7. C

  Chiya Chibi JF-Expert Member

  #7
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Yapo magazeti mengine ambayo yanajitahid kufichua mambo ya serikali, lakin hili lilijitahidi sana. Watu hawaiamin serikali coz kilichokuwa kinaandikwa na Mwanahalisi ndicho walichokuja kukikubal ingawa ni kwa badae, kwahiyo ilifika hatua gazet likaaminika zaid.
  Mwanahalisi halikuchochea jambo wala kutishia usalama wa Taifa, serikali yenyewe ndo iliyotishia usalama kwa uovu wake. Em niambie kati ya MWARIFU (mtenda kosa) na MFICHUAJI nan aliyepaswa afungiwe kufanya kazi.???
   
 8. Ally Kanah

  Ally Kanah JF-Expert Member

  #8
  Aug 7, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 1,433
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Samahani mkuu MWARIFU ndio kitu gani?
   
 9. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #9
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mi naona Mwanahalisi na serikali lao moja sema wamepishana lugha. Isingekuwa hivyo Kubenea asingefaidi pesa ya serikali kwenda India kila wiki eti kutibiwa. Kubenea ni mtu wao ingawa wamepishana lugha,msipate taabu watasuluhisha na kurudiana just soon.
   
 10. Sabung'ori

  Sabung'ori JF-Expert Member

  #10
  Aug 7, 2012
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  ...badala ya kufunga wanaotenda maovu,wanafunga chombo kinachofichua maovu...
   
 11. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #11
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,519
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Yawezekana kauli yako ikawa na chembe za ukweli, lakini mara nyingi imani kama hiyo hubebwa na watu wenye akili za kusubiri kuambiwa kila kitu.
   
 12. t

  thatha JF-Expert Member

  #12
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Mitaa gani hiyo unayokaa ambayo ina watu wenye uwezo mdogo wa kuchanganua mambo hivyo? Lazima utakuwa ulisoma zile shule za SCHOOL BUS ambazo hazifundishi uraia tangu mwanzo. Kuna uhusiano gani kati Gazeti na Serikali? Kweli wewe ni mweupe.
   
 13. t

  thatha JF-Expert Member

  #13
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Mkuu kumbe na wewe umemgundua. Najaribu kutafuta kigezo alichotumia kufananisha Chombo cha habari na Serikali nashindwa hata kumueka kundi gani, ni mshabiki? ni mjinga? ni chizi? au basi tu kama ulisema mkuu ,kuwa ni wale wale wakiulizwa leo ni nchi ipi ina mgogoro na Tanzania kuhusu ziwa Nyasa atajibu Zanzibar. What is Mwanahali? au kwa vile linamilikiwa na kiongozi wa CHADEMA? Kumbe unaweza kuwa mpenzi wa kitu fulani hadi ukawa kama roboti. Hawa ndiyo wanaotumiwa kutafuta mabadiliko ili baadaye nchi itumbukie shimoni, hivi mtu kama huyu leo hii kukawa na mabadiliko yanayosemwa atakuwa anajua nini maana yake ? Kazi ipo.
   
 14. D

  Determine JF-Expert Member

  #14
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 257
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mtu aliyekiuka sheria
   
 15. t

  thatha JF-Expert Member

  #15
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  tehe tehe tehe. Leo si kupanga hata kutabasamu, ila kwa hili siwezi kuacha kucheka angalau ki-sms tu. Hivi huyo Chiya Chibi kwa kiswahili chake hicho, anawezaje kumshawishi mwananchi hata wa kule kijijini kwamba nae ni Mtanzania? eti naye anajiandaa kugombea udiwani kwa kupitia CDM.
   
 16. D

  Determine JF-Expert Member

  #16
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 257
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Binafsi namkubali sana Kubenea. Kama angekuwa mzushi tindikali walimmwagia ya nini?
   
 17. Kyaiyembe

  Kyaiyembe JF-Expert Member

  #17
  Aug 7, 2012
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 1,569
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mkuu siku hizi vyombo vya habari vina nafasi kubwa katika uongozi wa nchi, ndiyo maana vingine vinafungiwa. Hilo somo la uraia sio msaafu.
   
 18. D

  Determine JF-Expert Member

  #18
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 257
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  MWANAHALISI ndo usalama wetu wa taifa,TISS imejaa wahuni wanaolinda wahuni wenzao na sio mali zetu kama taifa
   
 19. t

  thatha JF-Expert Member

  #19
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Nani ambaye hajui kuwa Kubenea anahudhuria vikao vya propaganda kule CDM? Unategemea aende kinyume na maazimio ya vikao?

  Serikali ya JK bwana ngangari kweli, pamoja na mtandao wa propaganda ulioandaliwa na CDM bado inadunda na kwa bahati nzuri wananchi walio wengi wameshajua janja hiyo ya CDM. Mbona akina Ananilea Nkya Hellen Kijo Bisimba wako kimya? au bado wanaandaa zengwe lingine ili watakapoibuka CCM chali? tehe tehe tehe, JK usihofu Watanzania walio wengi wako nyuma yako.
   
 20. D

  Determine JF-Expert Member

  #20
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 257
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  MWANAHALISI ndo usalama wetu wa taifa,TISS imejaa wahuni wanaolinda wahuni wenzao na sio mali zetu kama taifa
   
Loading...