Labda,huenda_Angejipiga Risasi...

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Kwa haraka haraka niliyoyaona kwenye picha ya Marehemu.

1.Nguo zake zimejawa vumbi?
2.Pale chini zimeonekana damu?
3.kiti kimetumika sehemu ambayo haikuitaji kiti?
4.Urefu wa Marehemu na Kinyongeo havina uhusiano.?
5.Si haja kubwa wala ndogo iliyoonekana kwenye mwili wa marehemu?
6.Mwili wa Marehemu umeonekana kubonyea kidogo si kawaida kwa mtu anaejinyonga?

Mengine mtaongezea wadau,lakini hayo machache yananipa shida kuamini kama amejinyonga.
Ingawa mawazo yetu yamejikita kufikiria kuwa ameuwawa na wale aliowataja Kuwa ni Police ambao hushirikiana na Majambazi....

Mimi naamini kbs kama angekuwa na wazo la kujiua angejipiga Risasi,na kuondo wingu zito lili tawala kifo chake mpaka muda huu....
uchunguzi uanze kwa kuwakamata watajwa wa matendo maovu ndani ya jeshi la Police....
Over.
 
NAONGEZEA: MIKONO NA MIGUU YAKE IMEPINDA! JE? NIKWENI MTU AJINYONGE MIGUU ISINYOOKE NA MIKONO!

nitashangazwa sana kama watz sasa tutakuwa tunazidi kupeleka kesi zetu polisi bora tumalizane wenywe tu! huu ni dhairi! wamekifanya wao hiki kitendo, na zaidi zaidi waliokifanya watakuwa nia wale wa dr! mana inaonyesha sio wasomi hata punje! ata ku plan matukio hawawezi! je? wataweza kuplan usalama wa raia kama tutaingia vitani! shame on them
 
Habari gani tena hii, Mbona siielewi?
Embu iwekeni bayana.............
 
ni mim nazani ndio nimekurupuka na kudandia kwa mbele?? Tafadhali jamani nijuzeni ili tuende sawa
 
Back
Top Bottom