Eeeh tanzania unaelekea midomoni mwa wasomali!!

mmteule

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
5,499
12,825
nyumba ya jirani inawaka moto....badala tujiandae kuuzima tanzania inajimiminia petrol kuukoleza. Mombasa na Nairobi si salama tena kwa majirani zetu Kenya kutokana na ukarimu wa mda mrefu kwa kuwaruhusu wasomali kumiliki baadhi ya maeneo nchini mwao kwa wingi. hali ikiwa tete kwa wenzetu hapa kwetu kila uchao mamia ya wasomali wanapewa uraia... hata kufikia kutangaza kwamba sasa Rukwa ni milki yao...eeeh God wanausalama wako wapi kuweni ni maono ya mbali, hawa watu watatusumbua...rushwa na udini ndivyo hasa chanzo eti ili wawe wengi hao wenzetu... jamani vyombo vya usalama acheni kukalia siasa angalieni usalama wa leo na wa kesho wa nchi yetu. fanyeni kazi kwa uzalendo wasomali watakapoanza kutudhulu hawatachagua hata wewe leo unayepokea rushwa kuwapa uraia utaangamia.
enyi watumishi wa kada husika endeleeni kushindana kununua magari ya kifahari na kupokea rushwa kule nchi yenu inaporwa kesho hayo majumba na magari yenu vitaporwa. ilov tzie
 
Umeandika ukweli mtupu lakini bahati mbaya sana watakaokuelewa watakuwa wachache kuliko wale watakaoingia mbinguni...
 
nyumba ya jirani inawaka moto....badala tujiandae kuuzima tanzania inajimiminia petrol kuukoleza. Mombasa na Nairobi si salama tena kwa majirani zetu Kenya kutokana na ukarimu wa mda mrefu kwa kuwaruhusu wasomali kumiliki baadhi ya maeneo nchini mwao kwa wingi. hali ikiwa tete kwa wenzetu hapa kwetu kila uchao mamia ya wasomali wanapewa uraia... hata kufikia kutangaza kwamba sasa Rukwa ni milki yao...eeeh God wanausalama wako wapi kuweni ni maono ya mbali, hawa watu watatusumbua...rushwa na udini ndivyo hasa chanzo eti ili wawe wengi hao wenzetu... jamani vyombo vya usalama acheni kukalia siasa angalieni usalama wa leo na wa kesho wa nchi yetu. fanyeni kazi kwa uzalendo wasomali watakapoanza kutudhulu hawatachagua hata wewe leo unayepokea rushwa kuwapa uraia utaangamia.
enyi watumishi wa kada husika endeleeni kushindana kununua magari ya kifahari na kupokea rushwa kule nchi yenu inaporwa kesho hayo majumba na magari yenu vitaporwa. ilov tzie

Acha chuki na udini wewe bwana mdogo.

Matatizo yanayotokea kule Mombasa na Nairobi yanatokana na Kenya kupeleka jeshi kule Somalia. Waliishambiwa mapema wawaachie wenyewe mambo yao ya ndani wakajitia kimbele mbele ngojeni na hapa kwenu JK atume JWTZ hapo Mogadishu halafu tuone balaa lake. Wamarekani wenyewe na utemi wao pale walikimbia sasa hivi wanatusakizia sisi waafrika tupeleke ulinzi.
 
Ww kinachokusumbua nikua ww ulikua mjakazi wa waarabu nani katangaza kua rukwa ni wasomali leo wamekaa nanyi na kuwak
 
Tumeishi nao wamewaondoa kutoka utumwa wa kiarabu leo mnawaona ni hatari kisa babu zao walikotokea kunavita acheni ubag
 
... kasumbaleza mbona humalizii msg zako? Au ndo kigugumizi cha maandishi?
 
Tanzania haina mwenyewe, hata wanyama waingia na kujitangazia umiliki nenda loliondo uone jinsi warabu walivyojitangazia uhuru ktk nchi ya watu wengine, and our gvt is silent
 
Back
Top Bottom