Riziwani Kikwete Aingizwe Jeshini Haraka Iwezekanavyo!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Riziwani Kikwete Aingizwe Jeshini Haraka Iwezekanavyo!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Matola, Aug 7, 2012.

 1. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,268
  Trophy Points: 280
  Enzi za Mwalimu JK Original wakati Tanzania inaingia vitani na Uganda kufuatia uvamizi wa majeshi ya Idd Amin, JK Original akiwa ndio Amiri Jeshi Mkuu watoto wake 3 wa kuzaa yeye mwenyewe walishiriki vita ile,
  1. Andrew Nyerere
  2. Madaraka Nyerere
  3. Makongoro Nyerere.

  Basi kwa kuwa huyu Rais Kikwete amekuwa na juhudi kubwa mpaka kuliteka jina la JK na kulitumia yeye ili tu kutusadikisha kwamba ni Nyerere mwingine amerudi, huu ni wakati sasa wa kuonesha kwa vitendo amtowe mtoto wake Kipenzi Riziwani ajumuishwe jeshini kuanzia sasa na apelekwe mpakani kukaa standby kusubili amri ya Amiri Jeshi Mkuu kwa sababu ni jambo lililo dhairi tumekaa mkao wa kivita kati yetu na Malawi.
  Muungwana ni vitendo, sasa hapa ndio mtakapowapima viongozi wenu kama ni viongozi kweli au ni kundi la wasanii tu? Nawasilisha;
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. PPM

  PPM JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 839
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Jeshini akafanyaje? Au akasaidie kupika chakula?
   
 3. REMSA

  REMSA JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,569
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mkuu ni makosa makubwa kumfananisha JK Nyerere Jembe na JK Dhaifu,hawafanani kwa chochote hasa
  uzalendo kwa taifa hili mpaka na watoto wao hivyohivyo.Watoto wa JK Nyerere ni wazalendo kila mtu anajua
  na watoto wa JK wa sasa ni mafisadi kila mtanzania anajua,ndio maana wanataka kununua ardhi yote ya
  Tanzania iwe mali yao.
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Huyu JK chipolopolo hataweza kumpeleka mwana wa mfalme wa usalato vitani?
   
 5. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #5
  Aug 7, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mkuu umewaza vema...
   
 6. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Apo ni Anga na Ardhi tofauti kabisa
   
 7. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #7
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  ahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa_nimecheka saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana.
   
 8. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #8
  Aug 7, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Jeshi wanasomea, huyu hajui mbinu hata moja labda kama anataka kumtoa kafara...lol!
   
 9. Z

  Zinjathropus JF-Expert Member

  #9
  Aug 7, 2012
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 1,114
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  am all for ridhiwani aende vitani kama vita vikija kuonyesha uzalendo yeye as a person na si kwa sababu za thread hii eti kisa baba yake raisi kwa hivyo ni uzalendo kwa raisi kufanya hivyo unajuaje kama ridhiwani akupenda baba yake hawe raisi in the first place. We are democratic not a kingdom hata wewe bwana matola nakushauri ukajiunge kwa mapenzi ya taifa lako, kama unavyowaimiza wengine wajiunge anzisha mfano kwanza.
   
 10. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #10
  Aug 7, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,268
  Trophy Points: 280
  Hivi yule Mjukuu wa Malkia Elizabeth alipokwenda vitani Iraq alitumia muda gani kupewa Military Training?
   
 11. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #11
  Aug 7, 2012
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  Ni Makongoro Nyerere tu ndiye aliyeshiriki katika combat. Mimi nilikuwa Combat Pilot lakini aikwenda frontline.
   
 12. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #12
  Aug 7, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Ufisadi na miradi yake atamuachia nani?
   
 13. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #13
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Ila ni moyo wa kishujaa kuamuru au kuruhusu watoto wako waende mstari wa mbele wa mapambano!!
   
 14. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #14
  Aug 7, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Acheni wehu ridhiwani anakazi kubwa kuliko hiyo ya kufyatua risasi ambayo hata nyie darasa la saba wenzangu mnaweza. Ridhiwani atakuwa akisimamia logistic za supply ya dhana pamoja na logistic za kuhakikisha wategemezi wote wa wanajeshi wenzangu wanakula bata vizuri ili hali tunajiandaa kwenda kugonga bia na mvinyo za sebuleni kwa mama banda
   
Loading...