Kesi ya kakobe kesho,Cd ya umafia wa Rwakatare yawasilishwa

ASKOFU MSAIDIZI

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
209
23
Kesi ilikuwa imetatajwa leo sas imehairishwa mpaka kesho.

Kutokana na jaji muhusika kutokuwepo.
 
Attachments

  • DEZ.pdf
    1.4 MB · Views: 259
  • DEZ 1.pdf
    1.7 MB · Views: 180
Teh teh teh ukiwa unajua mambo yaani hakuna presha. kakobe ashashinda aaah ukweli ni kesi ya wana fbgf zidi ya wasio wana fgbf.
 
kushinda si tatizo ila la msingi ni utendaji wa Kimungu kati ya hawa wachungaji n maaskofu. Wengi wao wamegeuza makanisa kuwa vitega uchumi ndio maana sasa wanafikishana mahakamani
 
kushinda si tatizo ila la msingi ni utendaji wa Kimungu kati ya hawa wachungaji n maaskofu. Wengi wao wamegeuza makanisa kuwa vitega uchumi ndio maana sasa wanafikishana mahakamani
<br />
<br />
je wewe unamjua hawa waliofungua ? Na sifa mbaya walizonazo hasa huyo Dezy. Tulikuwa tunamvutia pumzi tu siku sio nyingi tutawaomba wote waliowaliza wajitokeze wazi hapa na simu zao hadharini mambo yawe peupe. Hawana chochote wala wasitafute balaa bure wafuate ushauri wa Mheshimiwa Jaji tu. Wasipofuata kiburi chao kitawaponza. Itakula kwao
 
kushinda si tatizo ila la msingi ni utendaji wa Kimungu kati ya hawa wachungaji n maaskofu. Wengi wao wamegeuza makanisa kuwa vitega uchumi ndio maana sasa wanafikishana mahakamani
<br />
<br />
Ul666NN6M66M66666666mw6onw8ww9xxm9962222222525225555n5w9ylw5662555566555556mnmjok6jmbm959z9299z969999w659x5555J25kkMMNOD3eedenm9nnnj5n9wwxwjxwwxxm66mwmwxm
 
Kushinda kesi ni suala la msingi kwani hao waasi ndio waliokwenda mahakamani. Wacha waaibike watajua kweli shetani siyo rafiki.
 
Back
Top Bottom