Nape kuanza Ziara Monduli Jumatatu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape kuanza Ziara Monduli Jumatatu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kageuka, Aug 5, 2012.

 1. K

  Kageuka JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 241
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimesikia Nape anaanza ziara mkoa wa Arusha na anaanzia Monduli, hii imekaaje?
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,134
  Likes Received: 836
  Trophy Points: 280
  mnafiki tu huyo utasikia atakavyo mfangilia lowasa lakini akumbuke M4C ilishapita huko..
   
 3. N

  Nali JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2012
  Joined: Mar 31, 2010
  Messages: 748
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Atamlamba miguu mzee lowasa, subirieni kituko huko!!
   
 4. K

  Kageuka JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 241
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na asipomlamba utamuomba radhi hapa?!???
   
 5. m

  mkupuo JF-Expert Member

  #5
  Aug 5, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,220
  Likes Received: 366
  Trophy Points: 180
  Naomba kuuliza mkuu.JE atakutana na gamba kuu la huko?
   
 6. C

  Choi Member

  #6
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 27, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  huko Monduli kuna nini hasa mbona magamba wote wanaelekea huko!
   
 7. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #7
  Aug 6, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,322
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  Hata mimi najiuliza hivyohivyo! Na ni kwanini hawaji arusha mjini!? Tangu waliposema atakuja Arusha akaishia standi ya Moshi hadi leo anazunguka tu. Aje A town afundishwe siasa!
   
 8. W

  Wajad JF-Expert Member

  #8
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 872
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 60
  Labda wanaiandaa "Monduli" kuchukua nchi 2015 si unajua kuwa el na jk hawakukutana barabarani.
   
 9. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #9
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 1,749
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Nape amemkosea sana "adabu" EL. Iwapo EL atarudi katika uongozi itabidi ahamie "Kenya" kama wale 11 wa Membe.
   
 10. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #10
  Aug 7, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 772
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 60
  mawazo kama ya kwangu mkuu, unafiki bhana ni kitu kibaya sana. SCENE ninayoisubiri kwa hamu ni hiyo ya Nape na EL. nikikumbuka ile kauli mbiu ya kuwavua magamba watu Nape alivyokuwa amemkomalia EL, AC na RA sipati picha. au ndo Nape kesha andaa ndimu tayari kwa kusukumizia matapishi yake mwenyewe??? hakyanani mzee EL ni noma, dogo nape inabidi sasa akajikoshe, oooh! mzee samahani, nisamehe, nilipitiwa tu mambo ya ujana tu haya mzee wangu, sikujua kama wewe ndo ccm, dah! hakyanani, njaa hizi ni nomaaaaaaa!
   
Loading...