Ujenzi wa barabara

DCM

Senior Member
Apr 13, 2012
163
98
Jamani kuna swali moja huwa najiuliza,hivi ni kwanini barabara ya kimara inabomolewa baadhi ya maeneo na ilikuwa nzuri?Kama ni kupisha ujenzi wa njia ya magari yaendayo kasi kwanini hilo halikuangaliwa wakati wanajenga mara ya kwanza?Ina maana hata plan huwa hakuna?Kwani naamin hii barabara sidhani kama ni muda mrefu tokea ijengwe!Haya sio matumizi mabaya ya pesa?
 
Design life ya Ubungo - Mlandizi ilishaisha...kwahiyo the road section need a rehabilitation whether kuna kupisha mabasi ya mwendo kasi au la.
Design ya late 90's haikuangalia/hakukuwa na plans za mabasi ya mwendo kasi. Ila tazama sasa utaona barabara ya Mpakani imeacha reserve kadhalika new bagamoyo, kilwa road, etc.
 
Back
Top Bottom