Tumalize ubishi;CT scanner vs Toyota land cruiser

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
nijuavyo mimi ni kuwa CT scanner inaweza kupatikana kwa bei ya $80000
je brand new land cruiser ni sh ngapi?

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Mkuu sometimes tuwe wakweli. Hiyo bei uliyo-mention labda ni kwa USED CT Scanner. Na kwa bahati mbaya sana kwa sheria "tulizojiwekea wenyewe", serikali hainunui vifaa chakavu. Kwa mashine mpya, nikichukulia mfano wa "Toshiba CT Scanners" ambazo ni one of the best in the world, bei kidogo inatisha. Statement hii nimei-quote kutoka site moja:

"The machine is expensive -- about $2.5 million, versus $1.5 million for a typical CT scanner. But hospitals should be able to pay back the difference in as little as two years, because they might save as much as $3,000 diagnosing a heart attack or stroke."; Ref: http://www.wired.com/gadgets/miscellaneous/news/2008/04/Toshiba_CTScanner

Ukiangalia, kwa uwekezaji wa hiyo mashine, mgonjwa atalipia around $3,000 (T.Shs. 5,000,000/=) hadi $5,000 (T.Shs. 8,000,000/=) ndizo bei za sehemu nyingi duniani gharama ya hicho kipimo!

HATA HIVYO, hoja ya msingi ni kwamba ni wajibu wa Serikali kutoa huduma kwa wananchi wake regardless of gharama; si busara kuacha wananchi wateketee kwa kisingizio cha gharama. Kama mapato ya nchi yangedhibitiwa vizuri, wala hiyo bei siyo issue kama serikali ingeamua na kujali wananchi wake.
 
kwahyo ipi ghali? mtusaidie sie wa vijijin na tunajua hela za madafu tu
 
Hakuna ugumu wowote kwa Tanzania kuwa na CT scanner kila wilaya. Uwezo upo, ni swala la wataalamu kuweka hilo kwenye vipaumbele tu. CT scanners hazinunuliwi kwa sababu wataalam hawajaziweka katika vipaumbele. Mwanasiasa hawezi kunyanyuka na kusema anataka kununua kifaa ambacho hajui kama ni kipaumbele katika sekta husika.
However what is really funny ni jinsi watu walivyo obsessed na CT scanners. CT scanner inampa mtaalam taarifa kuhusu hali ya mgonjwa, swala la kujiuliza kabla ya kutafuta CT scanners ni je, ile taarifa itakayokupa CT scanner utaweza kuifanyia kazi? Unavyo vifaa vya kufanyia kazi taarifa unayopewa na CT scanner? Huko ndio ilibidi tuanzie...
 
Hakuna ugumu wowote kwa Tanzania kuwa na CT scanner kila wilaya. Uwezo upo, ni swala la wataalamu kuweka hilo kwenye vipaumbele tu. CT scanners hazinunuliwi kwa sababu wataalam hawajaziweka katika vipaumbele. Mwanasiasa hawezi kunyanyuka na kusema anataka kununua kifaa ambacho hajui kama ni kipaumbele katika sekta husika.

hivi aghkhani wamenunua sh ngapi mpaka serikali ishindwe kununua
 
Viongozi wetu hawana utashi wa kuwasaidia wananchi wake. Kama ingekuwa ni "issue" ya kununua jet ya rais, hapo suala la ughali lisingezungumzwa hata kidogo. Wananchi tungeambiwa tule nyasi kuliko kukosa ndege ya rais! Kama Serikali ikinunuliwa CT Scan, viongozi watapata wapi mwanya wa kupata "per diem" (in $s) za kwenda kwenye matibabu Appolo na nchi zingine?
 
Mkuu sometimes tuwe wakweli. Hiyo bei uliyo-mention labda ni kwa USED CT Scanner. Na kwa bahati mbaya sana kwa sheria "tulizojiwekea wenyewe", serikali hainunui vifaa chakavu. Kwa mashine mpya, nikichukulia mfano wa "Toshiba CT Scanners" ambazo ni one of the best in the world, bei kidogo inatisha. Statement hii nimei-quote kutoka site moja:

"The machine is expensive -- about $2.5 million, versus $1.5 million for a typical CT scanner. But hospitals should be able to pay back the difference in as little as two years, because they might save as much as $3,000 diagnosing a heart attack or stroke."; Ref: http://www.wired.com/gadgets/miscellaneous/news/2008/04/Toshiba_CTScanner

Ukiangalia, kwa uwekezaji wa hiyo mashine, mgonjwa atalipia around $3,000 (T.Shs. 5,000,000/=) hadi $5,000 (T.Shs. 8,000,000/=) ndizo bei za sehemu nyingi duniani gharama ya hicho kipimo!

HATA HIVYO, hoja ya msingi ni kwamba ni wajibu wa Serikali kutoa huduma kwa wananchi wake regardless of gharama; si busara kuacha wananchi wateketee kwa kisingizio cha gharama. Kama mapato ya nchi yangedhibitiwa vizuri, wala hiyo bei siyo issue kama serikali ingeamua na kujali wananchi wake.
mkuu hatutaki the best wakati hatuna zile ambazo ni za msingi.just find a good one!hata ya kichina ipatikane kwa kuanzia.niambie kama simu au computer unayotumia ni the best au la.
 
Viongozi wetu hawana utashi wa kuwasaidia wananchi wake. Kama ingekuwa ni "issue" ya kununua jet ya rais, hapo suala la ughali lisingezungumzwa hata kidogo. Wananchi tungeambiwa tule nyasi kuliko kukosa ndege ya rais! Kama Serikali ikinunuliwa CT Scan, viongozi watapata wapi mwanya wa kupata "per diem" (in $s) za kwenda kwenye matibabu Appolo na nchi zingine?

Kiongozi siyo muamuzi wa vipaumbele vya kitaalam. mapungufu ya wataalam wa sekta husika hayo. tatizo tumeshazoea kutupia lawama wanasiasa.
 
Hakuna kitu kinachoniudhi kwa JK kama dharau aliyonayo juu ya watanzania na binadamu wengine kwa ujumla. Kuna wakati alizungumza eti "Labda iwe ni CT Scanner ya Kichina", halafu kikafuata kicheko cha dharau...
Huyu mtu hafai kuwa kiongozi hata kidogo!
 
kwa mujibu wa kikwete mtu anayeishi tandahimba ni lazima asafiri mpaka muhimbili ili apate kipimo cha ct scan.
Nilivyosikia ct scan ya muhimbili haifanyi kazi kwa hiyo ni lazima uende hospitali za private.kwani bei ya ct scan ni sawa na mashangingi mangapi?

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
ct inaumuhimu sana! ila najiuliza hawa madr wa kipindi cha nyuma wao ct yao ilikuwa ni kitu gani, na mbona walikuwa wanato huduma vizuri na ya uhakika tu!mgonjwa ukitoa maelezo yako alikuwa anauwezo wa kukuelekeza kwenye kipimo husika bila hat haya mambo ya ct! hii ct itabaki kuwa muhimu hasa kwa sasa mana ninamashaka ma uwezo wa madokta wa sasa hasa hawa masharo! wasije kutuumiza bure! sirikali inapaswa kufanya hii kitu muhimu na ct inabei kuliko hayo magari lakini isiwe sababu ya wao kuto zinunua wakati uwezo wanao!
 
ct inaumuhimu sana! ila najiuliza hawa madr wa kipindi cha nyuma wao ct yao ilikuwa ni kitu gani, na mbona walikuwa wanato huduma vizuri na ya uhakika tu!mgonjwa ukitoa maelezo yako alikuwa anauwezo wa kukuelekeza kwenye kipimo husika bila hat haya mambo ya ct! hii ct itabaki kuwa muhimu hasa kwa sasa mana ninamashaka ma uwezo wa madokta wa sasa hasa hawa masharo! wasije kutuumiza bure! sirikali inapaswa kufanya hii kitu muhimu na ct inaei kuliko hayo magari lakini isiwe sababu ya wao kuto zinunua wakati uwezo wanao!

ningekuona mwenye akili iwapo ungeuliza hawa wanasiasa wetu walitembelea usafiri gani hapo zamani kabla ya kuanza kutumia Mashangingi,je walikuwa hawafiki majimboni mwao?je wagonjwa wetu wanatumia mashangingi kufika hospitali?

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
ningekuona mwenye akili iwapo ungeuliza hawa wanasiasa wetu walitembelea usafiri gani hapo zamani kabla ya kuanza kutumia Mashangingi,je walikuwa hawafiki majimboni mwao?je wagonjwa wetu wanatumia mashangingi kufika hospitali?

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA

kweli we JINGALAO!
 
kweli we JINGALAO!

wewe si umependekeza madokta watibu kizamani?kwa nini wanasiasa wasifanye siasa kizamani?
Elewa mahitaji ya nchi kwa hali ya sasa ndio ujibu hoja,usikuripuke!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
wewe si umependekeza madokta watibu kizamani?kwa nini wanasiasa wasifanye siasa kizamani?
Elewa mahitaji ya nchi kwa hali ya sasa ndio ujibu hoja,usikuripuke!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA

still! jingalao!
 
Back
Top Bottom