Sensa ya idadi ya watu na makazi 2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sensa ya idadi ya watu na makazi 2012

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KiuyaJibu, Aug 15, 2012.

 1. KiuyaJibu

  KiuyaJibu JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2012
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 769
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Hii ni sensa ya tano(05) tangu Tanzania ipate uhuru wake.Wananchi wanaombwa wawe tayari kujibu maswali kuanzia 1-37 au 1-62;hii ina maana kwamba kuna watu watakaojibu maswali 37 na kuna wengine watakaojibu maswali 62, na hii ni kwa mujibu wa dodoso la sensa 2012.

  Zoezi hili litaanza usiku wa tarehe 25/08/2012 kuamkia tarehe 26/08/2012 na litadumu kwa siku saba (07).Sensa hii ni muhimu kwa mtu mmoja mmoja na kwa tathimini ya mipango ya nchi kwa ujumla;na sensa hii ni muhimu zaidi ya hizo sensa nne(04) zilizopita.

  Watakao hesabiwa ni wale wote wataokuwepo ndani ya nchi katika kipindi chote cha zoezi hili nyeti kitaifa;na mtu anahesabiwa mara moja tu na siyo vinginevyo.
   
 2. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  haya mkuu tumekusikia.........
   
 3. m

  mbeshere Member

  #3
  Aug 15, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Si watuhesabu kwenye kujiandikisha kwa ajiri ya Vitambulisho
   
 4. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #4
  Aug 15, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,845
  Trophy Points: 280
  Au kinyume chake
   
 5. Pepombili

  Pepombili JF-Expert Member

  #5
  Aug 15, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 439
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Vipi kile kipengele chetu muhimu kimeshawekwa au bao ?
   
 6. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #6
  Aug 15, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Na bila hiki kipengele hatuhesabiwi tushasema hivyo....
   
 7. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #7
  Aug 15, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Na mimi ndiyo huwa najiuliza hivi kwanini hawa kufanya hivi vitu vikaenda sambamba ili kupunguza gharama..
   
 8. dimbulubuchi

  dimbulubuchi Member

  #8
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  vip kuhusu Watanzania waliopo nje ya nchi kwa maana ya safari na shughuli nyinginezo...utaratibu ukoje?
   
 9. KiuyaJibu

  KiuyaJibu JF-Expert Member

  #9
  Aug 15, 2012
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 769
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Naombeni maswali yenu mlioyauliza niyafanyie kazi pindi nitakapopewa nafasi ya kuwasiliana na Commissioner.Ili anijuze vizuri kulingana na maswali mlivyo uliza.
   
 10. s

  silent lion JF-Expert Member

  #10
  Aug 15, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 538
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  au watumie wakuu wa kaya na vijiji
   
Loading...