Analysis: Ni kweli Sensa ni Biashara kwa Viongoz au Maendeleo kwa Jamii???!!!

Pasco_jr_ngumi

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
1,802
282
Tulikuwa tunajadiliana jana "Who benefit the census??"

Jamaa akasema hii ni biashara hatari sana, viongozi waandamizi wanajilipa kwa nguvu muda huu toka mawizarani, mikoani hadi wilayani.

Hatimae alipendekeza Serikali iwe analipa kila nyumba buku 2 ili kupata dodoso za sensa......

Ikabidi nirudi hom, nimeze panadol, usingizi ukaniingia......
 
Kwanza julize, pesa za sensa zinatoka wapi?
Ikiwa zinatoka hazina ya Tanzania, sensa ni kwa maslahi ya wananchi.
Ikiwa zinatoka kwa wafadhili......
 
Sensa kwa maendeleo, huo ndio mhimili. Tuombee Taifa liweze kujiendesha hata ktk mambo kama haya
 
Umuhimu wa sensa ya watu kwa jamii haupingiki. Viongozi kujinufaisha kwa kupitia shughuli hii hapa Tanzania ni jambo la kawaida linaloendana na sera isioyo rasmi inayosema CHUKUA CHAKO MAPEMA kwani MBUZI HULA MAJANI KULINGANA NA UREFU WA KAMBA YAKE.
Bottom line: Tushiriki sensa kikamilifu kwa faida ya jamii yetu.
 
mbona kama huku napo sensa imeshaanza.

391500_336686646419920_194083592_n.jpg
 
Hii post inadhalilisha jamii yote ya watanzania. It makes us look like an illiterate society! Hakuna mtu yoyote aliyeenda shule anaweza kuhoji umuhimu wa sensa. Aibu yetu sote.
 
Hii post inadhalilisha jamii yote ya watanzania. It makes us look like an illiterate society! Hakuna mtu yoyote aliyeenda shule anaweza kuhoji umuhimu wa sensa. Aibu yetu sote.
. Sure. Na anaiita 'analysis'. What a ****!!
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Tulikuwa tunajadiliana jana "Who benefit the census??"

Jamaa akasema hii ni biashara hatari sana, viongozi waandamizi wanajilipa kwa nguvu muda huu toka mawizarani, mikoani hadi wilayani.

Hatimae alipendekeza Serikali iwe analipa kila nyumba buku 2 ili kupata dodoso za sensa......

Ikabidi nirudi hom, nimeze panadol, usingizi ukaniingia......
Kaka pamoja na ufisadi tuliobobea nao kwa kila kitu ikiwa pamoja na zoezi la sensa lakini ni ukweli kuwa sensa ni kitu muhimu kwa maisha na maendeleo ya nchi,mipango yote hufanywa kutokana na matokeo ya sensa,ukiwa mwandishi najua lazima utakuwa unaandika maada mbalimbali ambayo msingi wake ni utafiti,kwa mfano kuna suala kama la maji huwezi ukaamua kuchimba visima vya maji mahala fulani bila kujua idadi na mahitaji ya watu wa sehemu unayotaka kuchimba hivy visima,au hata misaada huwezi kupeleka bila kujua idadi ya watu waishia hapo.Pia kwa wafanya biashara kujua soko ni muhimu pia ujue wale consumer katika hizo sehemu wapo wangapi n,k kwa hiyo sensa ni MUHIMU sana,pia tunataka tujue kuna Waisalamu wangapi hapa TZ bana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom