Hii ni kwa Maskini wenzangu...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ni kwa Maskini wenzangu......

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mkurabitambo, Aug 14, 2012.

 1. M

  Mkurabitambo JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2012
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kuna mengi yanatokea yakituumiza sana sisi wenye kipato cha chini....haya ni mfano tu ukiwa na yako ongezea pia
  1.Twiga wanapanda ndege,Mtanzania wa kawaida anaangaishwa pata passport
  2.viongozi wanajilipa vinono,mwananchi wa kawaida mlo mmoja tabu
  3.wanachukua mashamba yetu bila fidia kwa kigezo cha uwekezaji...
  4.wanatuUlimboka
  5
  6............
   
 2. m

  mamajack JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  inauma sana,hao waliosimashwa wanamapesa mpaka wanaumwa,kwa hiyo wala sio issue sana kwao.wnamiliki majumba migari,bado wanaakiba ya kutosha benki.eti mtu kaajiliwa 2010 mshara wa serikali yetu,amnamijumba migari,mibiashara. a/c moja yake ambayo iko benki ya hapa tz inasoma 45M.HUYO HATA UKIMSIMAMISHA UTAKUWA UNAMWADHIBU AU UNAMPUMZUSHA???
   
Loading...