Mkutano wa ccm dmv august 25,2012 md police, park police na ins kusaka wahalifu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkutano wa ccm dmv august 25,2012 md police, park police na ins kusaka wahalifu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Fitinamwiko, Aug 13, 2012.

 1. F

  Fitinamwiko JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 4,810
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  Ndugu wanaCCM wote mtakaohudhuria sherehe hii ya tarehe 08/25/2012, please take with you makaratasi yako.

  Jamaa wametonywa kuhusu illegal immigrants, Wauza Bangi/unga, Traveller checks dealers, shop lifters na most wanted people kuhudhuria mkutano huo. Hivyo Mapolice wamejipanga kuja kuwakamata criminals ambao mnajijua.
   
 2. p

  politiki JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  if they live in USA illegally they shoud get arrested and sent back home regardless they are CCM or not. $10,000 per head turned in so this is the best time to take advantage of the incident kwani watakuwa na magwanda ya kijani kwahiyo itakuwa
  rahisi kuwatambua.
   
 3. F

  Fitinamwiko JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 4,810
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  Kutokana na vitendo vya Uhalifu vinavyofanywa na watanzania wengi waishio Marekani, Law enforcements wanajiandaa Jumamosi 08/25/2012 kuwakamata wahalifu. Please if you do have any info about Illegal immigrants, Drug traffickers na FBI most wanted call your local CRIME STOPPER # asap, Reward $1000.00
   
 4. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  CCM haitapata mtu kwenye huo mkutano kwasababu wanachama wake wengi wanajihuisha na madawa ya kulevyia na wengi wao visa zimeisha tena walio wengi ni mijambazi ya kutupwa
   
 5. TabletFellow

  TabletFellow JF-Expert Member

  #5
  Aug 13, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  what is this now.... watanzania tumezidi kugawanywa na siasa
   
 6. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #6
  Aug 13, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  nyie c mnafuga majambazi na wauza unga!
   
 7. TabletFellow

  TabletFellow JF-Expert Member

  #7
  Aug 14, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kweli aisee, hasa Lema na Heche
   
Loading...