MH Joseph Mbilinyi Message from facebook.....

MH Joseph Mbilinyi Message from facebook.....

frema120

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
5,098
Reaction score
1,341
(Joseph Mbilinyi
‎...na kwa suala la dr ulimboka kutekwa na kuteswa na serikali...rais kikwete na serikali yake moja kwa moja wanaingia kwenye orodha ya tawala za afrika na dunia zilizotumia UTESAJI au kwa kiingereza TORTURE dhidi ya raia wanaopingana kimtazamo na mwenendo wa serikali zao...na kwa bahati mbaya kwao ni kuwa, watawala wa aina hii hukumu zao ni hapa hapa duniani kama ilivyotokea kwa ghadafi, mubarak, charles taylor na wengine waliohukumiwa kama sio na umma basi na ICC-The Hague...Unlike · · Share)
 
Vipi yule kijana wa chuo kikuu aliyeteswa na Heche mpaka wakataka kumfanyia kitu kibaya.
 
Ulimboka si kashaa rudi nasubiri awachane live tu...
Dhaifu anakazi si kitoto!
 
2015 anarudi mtaani huyo, ubunge ndio asahau kabisa. Bangi na siasa wapi na wapi.
 
Vipi yule kijana wa chuo kikuu aliyeteswa na Heche mpaka wakataka kumfanyia kitu kibaya.

Huyo Kijana hana jina?? Gamba @ work,serikali hii itapata kichapo hapa hapa duniani + wachumia tumbo wote wa mabwepande!
 
Kuwa CCM tu peke yake ni Certificate ya ujinga sasa unategemea kijana wa Dunia ya leo ambaye wazazi wake hawamo kwenye mfumo wa kifisadi ataishabikia CCM kivipi?

Anaetawaliwa na mjinga anakuwaje?

Kwi kwi kwi teh teh teh!
 
Vipi yule kijana wa chuo kikuu aliyeteswa na Heche mpaka wakataka kumfanyia kitu kibaya.

Kumbe nawe unalijua lile sakata?nashangaa inakuaje bado huyu jamaa ni kiongozi?
 
ccm imeshikwa pambaya wa nahangaika kuzuia laki wapi kitu kimewapaka tope sana
 
Vipi yule kijana wa chuo kikuu aliyeteswa na Heche mpaka wakataka kumfanyia kitu kibaya.

kumbe tunahsindania mabaya... nilidhani tunashindania kujenga taifa

Jibu lako ni message tosha kwamba humanity iko zero
 
Kuwa CCM tu peke yake ni Certificate ya ujinga sasa unategemea kijana wa Dunia ya leo ambaye wazazi wake hawamo kwenye mfumo wa kifisadi ataishabikia CCM kivipi?
Pole sana...kumbe unatamani uwe kwenye system ya kifisadi!!!
 
Back
Top Bottom