Wilaya nyingine igeni utambulisho wa mkuu mpya wa wilaya usipoenda kesho ubambuzii. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wilaya nyingine igeni utambulisho wa mkuu mpya wa wilaya usipoenda kesho ubambuzii.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kiba, Aug 15, 2012.

 1. Kiba

  Kiba JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 453
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Habari za muda huu naamini ni salama. Kesho alhamisi mkuu mpya wa wilaya ya SIHA katangaza utambulisho mzito katika vijiji viwili vya Tindigani na Makiwaru nafurahi sana kwa utambulisho huu hila naamini kila mtu analo jina na anajulikana ktk mtaa na viunga vinavyomzunguka kwa .tabia,matendo ,uaminifu, uchapa kazi pamoja na umaarufu sasa basi naomba kiongozi wetu huyu mpya asitake tumtambue kwa sura kwa kutumia fedha zetu kutuma mabalozi kutangaza kuwa ataeacha kwenda kwa muda uliopangwa kila kitongoji atabambuliwa bali chachu hii ahitumie kila mwezi ,wiki,mwaka kurudi kutangaza mafanikio yaliyopatikana katika siku chache alizopewa jukumu la ushumaa. Je kote walipopangwa wapya wana chachu hii?
   
Loading...