mtendakazi
Member
- Mar 14, 2012
- 26
- 7
Wana jamii nimekuwa nikiwaza jambo hii la kila influencial figure, wasomi, waganga wa kienyeji, wananziki n.k kutaka kuwa wanasiasa katika nchi yetu, hali inayopelekea kuzorotesha maendeleo ya nchi.
watazame ma ingeneeear wetu
watazame ma daktari wetu
watazame wa chumi wetu
watazame wana sheria wetu na wengine wote waliofika bungeni ambavyo maisha yao yalivyo tofauti na wenzao wa kada hizo walio baki kwenye utumishi wa umma! hoja yangu hapa matabaka yaliyojitokeza kwenye muhundo wa ki uongozi ndio yanayoleta fujo zote tunazozishuudia kila uchapo pamoja na ufisadi, migomo ya wana taaruma kama madaktari, walimu nk. mawazo yangu ili tuweze kupata kweli watu wanaovutwa kwenye siasa kwa wito wa kutatua changamoto za kimaendeleo ktk nchi yetu , tutoe maoni katika mchakato wa katiba mpya unaoendelea kuwa
wanasiasa wote walio
wabuge
mawaziri
hata raisi walipwe kulingana na taaruma zao! hapa ndipo tutakapo ona wasiasa wa kweli.
naomba kuwasilisha!.........................................