Hivi kweli chakula ndio kimekuwa kivutio chetu-kweli nyerere tutakukumbuka

JF-MBUNGE

JF-Expert Member
May 1, 2012
421
160
Kadri siku siku zinavyokwenda na hasa mwezi huu mtukufu naona viongozi wetu wanakazana sana kujumuisha watu kwa ajili ya vyakula...na hata kufungua tawi naona wanasisitiza chakula na vinywaji ni bure....je ni kweli chakula kimekuwa kitu cha kutangaza sana kwani tukitoa kinya kimya kuna tatizo gani wakati ndio utamaduniw wetu watanzania kupeana chakula kama kipo. Hivi tunashindwa kufanya majukumu muhimu tukaacha kutumia v2 simple kaa vyakula kama ndio incentives au ushafishi wetu tuonekane tunajali wananchi ni wazo tuu.
 

Attachments

  • CCM KINANA.jpg
    CCM KINANA.jpg
    76.3 KB · Views: 66
Tatizo siwale wanaotangaza kuna chakula, ila ni wale ambao wanapoteza haki zao nyingi za kimsingi kwa kuhongwa chakula ambacho mwisho wa siku kitapotelea chooni!
  1. kuna fahari gani wewe kula pilau ikulu wakati familia yako wanalalia chapati na maharage? wanasiasa ni wajanja na wanajua thamani waliyonayo wapiga kura wao, ndio maana hawanahaja ya kutumia hela na maelezo mengi wakati simply pilau inamaliza mchezo! Hao ndio watanzania wa leo ambao wanashindwa hata kutofautisha kati ya chakula na mtego! Siku hizi hata panya wamekuwa wajanja, ukiweka mavyakula yako na sumu hawali ng'o wanapitiliza na asubuhi utakuta chakula chako ulichotega kipo!
Cha ajabu binadamu hana ufahamu ambao hata panya siku hizi wameanza kuwa nao! TAFAKARI NA CHUKUA HATUA!
 
Tatizo ni kuwa hamna upeo.

USA unamwalika mtu unamueleza kabisa kama kuna kula au la. Kule watu hawavamii shughuli za watu bila kualikwa siyo bongo ile, kama hujawaambia watu utaandaa chakula halafu kikudodee.
 
Si ajabu kwani wameendekeza dini,na kuna dini moja inayouthamini wali kiasi mtu anaweza kufunga safari toka Magomeni hadi Chalinze kufuata wali wakati nauli aliyotumia ingemtosha kupika nyumbani kwake...
 
Tatizo ni kuwa hamna upeo.
u
USA unamwalika mtu unamueleza kabisa kama kuna kula au la. Kule watu hawavamii shughuli za watu bila kualikwa siyo bongo ile, kama hujawaambia watu utaandaa chakula halafu kikudodee.
dah.... umechemka
 
duuh

umechemka kinoma!! mfano na hoja haviendani kabisa

Nenda kawaalike huko halafu usiwaambie kama kuna dinner halafu baada ya muda watolee chakula, huwapati kula hata 10% kila mtu atakuja kisha kula kwao, halafu unafikiri utawaita wa mitaani uwape kama bongo? mawee!

Tatizo huna exposure ya duniani.
 
Nenda kawaalike huko halafu usiwaambie kama kuna dinner halafu baada ya muda watolee chakula, huwapati kula hata 10% kila mtu atakuja kisha kula kwao, halafu unafikiri utawaita wa mitaani uwape kama bongo? mawee!

Tatizo huna exposure ya duniani.
yah wewe unayo ya kuramba kwato wala vyao na kuishia kubeba vibegi tu

***** wahed
 
Back
Top Bottom