Video: Kigamboni kimenuka polisi watumia mabomu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Video: Kigamboni kimenuka polisi watumia mabomu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by 3squere, Aug 17, 2012.

 1. 3squere

  3squere JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Jeshi la polisi katika mkoa wa Kipolisi wa Temeke jijini Dar-Es-Salaam limelazimika kutumia mabomu ya machozi na risasi za moto kutawanya kundi la vijana walio kuwa wamefunga barabara ya Mjimwema Kigamboni kupinga kuondolewa katika machimbo ya kokoto ya Maweni machuva Video
   
 2. MZIMU

  MZIMU JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 4,080
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Nadhani haja eleweshwa vya kutosha
   
 3. 3squere

  3squere JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  jana kilinuka mkuu kama ukuangalia taarifa ya habari jana ungeona wananchi wamechachamaa awataki utani tena
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Kauli ya PM wa serikali tawala!


  LIWALO na LIWE!
   
Loading...