Funzo: CHADEMA mmeona kilichotokea South Afrika jana . Ndio itakavyokuwa 2015.

kupe

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
1,035
326
ile ndio kazi ya polisi kwa raia wanaodharau amri ya polisi kama wale watu wa migodini waliopigwa shaba na polisi wa afrika kusini. na ile ndio kazi ya polisi .maana CHADEMA wanadharau sana jeshi la polisi
 
Ngoja wakusikie wameenda kula,wakirudi anza kujiandaa kuoga tu,hakuna Polisi mwenye akili timam anayefurahia kutoa uhai wa binadamu
 
tena itakuwa vizuri mno maana kati ya watu watakaopigwa risasi hata shangazi yako atakufwa. jiandae kuzika kama unashabikia mauaji.

kawaida mtu akikosa hoja huwa anahamaki na kukimbilia kutumia vyombo vya dola -- aka ccm ndani ya kaburi.
 
Binafsi siamini, hizi sio enzi za mkapa za kukandamiza upinzani kama alivyofanya pemba.
Kila mtu yuko huru, ingekuwa hivyo wangeshafanya zamani.
 
ile ndio kazi ya polisi kwa raia wanaodharau amri ya polisi kama wale watu wa migodini waliopigwa shaba na polisi wa afrika kusini. na ile ndio kazi ya polisi .maana CHADEMA wanadharau sana jeshi la polisi

hiri litakuwa ni riafande tu au rimetumwa na gambaz.
 
ile ndio kazi ya polisi kwa raia wanaodharau amri ya polisi kama wale watu wa migodini waliopigwa shaba na polisi wa afrika kusini. na ile ndio kazi ya polisi .maana CHADEMA wanadharau sana jeshi la polisi

hakuna anaelidharau jeshi la polisi! bali jeshi la polisi linajizaraulisha lenyewe, sasa jiulize wanajidharaulisha vipi? kama unaakili utapata majibu kwa haraka ila kama akili zako umeziacha chooni, hutopata jibu hata.
 
ile ndio kazi ya polisi kwa raia wanaodharau amri ya polisi kama wale watu wa migodini waliopigwa shaba na polisi wa afrika kusini. na ile ndio kazi ya polisi .maana CHADEMA wanadharau sana jeshi la polisi

Lazima umli wako ni mdogo na uwezo wako kufikiri nikama mtoto.

1. Machimbo ya bulyahulu walifukiwa watu wakiwa hai, kama ulikuwa hujazaliwa kamuulize Augustine Lyatonga mrema
2. Mgodi wa mara si mda mrefu watu wamepipwa lisasi na kila siku wanauwawa.

3. Geita gold mine nikawaida kwao kuuwa raia.

Wewe lazima uwe na matatizo ya akili. Binadam anaefurahia kutolewa uhai kwa mwanadam mwingine kwa maana yoyote ile

Kushangilia watu kuwawa lazima uwe pubavu na mjinga, hii inamfanya mtu aonekane kichaa kwa sabab uwezo wa kufikiri haupo aslan.

Wakati ukishabikia watu kuuliwa na polisi

-usilie utakapoambiwa dada, kaka, mama, binam, mtoto, au bib yako naye kauwawa katika pulkushan

-unafedha kiasi gan kuwalea watoto yatima na kuwatimizia wajane mahitaji yao yote?
 
ile ndio kazi ya polisi kwa raia wanaodharau amri ya polisi kama wale watu wa migodini waliopigwa shaba na polisi wa afrika kusini. na ile ndio kazi ya polisi .maana CHADEMA wanadharau sana jeshi la polisi

kwanza sisi ndo tunataka iwe hivyo maana itakuwa vizuri sana tutapata justification ya kuingiza watu vijiti matakoni kama alivofanywa gadafi
 
Ngoja wakusikie wameenda kula,wakirudi anza kujiandaa kuoga tu,hakuna Polisi mwenye akili timam anayefurahia kutoa uhai wa binadamu

akili zake mbovu sana huyu. Wasauz wenyewe wanalaani yale mauaji na wanasema last time kutokea upuuzi kama huo ni kwenye sharpville mass killing. Huu upuuzi siyo wa kushabikia hata kidogo! By the way kwenye haki yangu ni afadhali nife nikiwa naidai.
 
ile ndio kazi ya polisi kwa raia wanaodharau amri ya polisi kama wale watu wa migodini waliopigwa shaba na polisi wa afrika kusini. na ile ndio kazi ya polisi .maana CHADEMA wanadharau sana jeshi la polisi

Naona unafurahia kuua wenzako halafu wewe una tiketi ya kuishi milele eti?,jinga kabisa
 
Jamani huyu Kupe wala msimtukane ni rafiki yake na Zomba, Ritz na Rejao
 
Back
Top Bottom