Edward hosea live on itv | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Edward hosea live on itv

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by notmar, Jun 20, 2011.

 1. notmar

  notmar Member

  #1
  Jun 20, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mkuu wa TAKUKURU ,edward hosea yuko live kwenye kipindi cha dk 45 ITV.
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Jamani don disturb. I am watching Citizen Live at 9.

  huyo hosea anasema nini cha maana.

  si amewekwa takukuru ili kuziba mianya ya inayoweza kuwasaidia watu kuona uoza wa rushwa ulivyo serikalini?
   
 3. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Hoseah hana lolote wala chochote chaguo la Lowasa na Kikwete kusema penye Rushwa hakuna Rushwa na kukama watendaji wa kata na mahakama za mwanzo tu! hata Traffic Polisi wamemshinda.

  Mi ninge kuwa yeye ningejiuzuru kwa kushindwa kazi
   
 4. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Anasema nini huyu jamaa?
   
 5. Makoye Matale

  Makoye Matale JF-Expert Member

  #5
  Jun 20, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 6,480
  Likes Received: 450
  Trophy Points: 180
  Recorded sio live.
   
 6. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #6
  Jun 20, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Msanii tu huyo!!!
   
 7. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #7
  Jun 20, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,136
  Likes Received: 7,389
  Trophy Points: 280
  Hana lolote la kunishawishi nimsikilize, kazi kukabana na rusha ya alfu 5 kwa makarani wa mahakama huku wakubwa wakijineemekea
   
 8. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #8
  Jun 21, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  He does't deserve all that publicity.Ni fisadi mwingine tu.
   
 9. g

  gangsterone2010 Member

  #9
  Aug 18, 2012
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hilo ndio tatizo la kutumwa kumchafua mtu fulani humu kwenye jamii forum...hivi hatuna mambo ya mendeleo kujadiliana hadi ionekane mi-comment yako tu kumponda jembe la pccb hosea...!!! kweli mwenye macho haambiwi aone, mijenerali ya jeshi la wananci tumeishuhudia ikipandishwa kizimbani siku chache zilizopita, hivi katika historia ya bongo lini iliwahi kutokea mijenerali ya jeshi ikaguswa...jamaa amethubutu; mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni wajameni...tuache kuwasemea wehu wanaotutuma kuchafua watu humu...
   
Loading...