Wakazi wa kijiji wazuia ujenzi wa daraja

Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
5,453
3,203
Wakazi wa kijiji cha Mloda kata ya Maka'gwa wilaya Chamwino wamezuia ujenzi wadaraja katika barabara kuu ya Iringa - Dodoma ili kushunukuza wakala wa barabara (Tanroads) mkoa wa Dodoma kuwalipa fidia kutokana na mashamba na nyumba walizobomolewa.
Chanzo: ITV
 
Back
Top Bottom