Gazeti letu pendwa Mwanahalisi lingeweka hewani majina ya wenye fedha Uswisi

Zyamchani

Member
Mar 10, 2012
11
6
Kwanza naanza kwa masikitiko kwani hadi sasa hajujapata kwa uhakika majina ya watu wenye fedha Uswisi. Hii inanikumbusha ushuja na ushupavu wa gazeti letu pendwa Mwanahalisi kabla halijahujumiwa na serikali, mambo haya ya mafisadi yangekuwa si kificho.

Wananchi tushikamane kuondoa serikali isiyopenda uhuru wa vyombo vya habari na badala yake inapenda mafisadi wasiumbuliwe. Wasiwasi wangu ni kuwa si muda mrefu kuanzia sasa utasikia kuna mtu mdogo kuhusiana fedha za Uswisi kapelekwa mahakamani ili kuzuia mjadala huo, kumbukeni janga la Ulimboka na chizi anayeshikiliwa na afande Kova.

Ombi kwa wana JF kama kuna mtu ana tetesi ya majina ayaweke hewani.
 
una uhakika kama anashikiliwa???umewah kumuona????
 
Serikali dharimu yenye viongozi walafi,wasiopenda kuambiwa ukweli.
 
Hapa ndipo ninapomwitaji Dr W Slaa arudi bungeni, ishu kama hii fasta ashataja na mkimzuia mwembe yanga kuwataja
 
Hili la kufungia mwanahalisi linaniuma km nini. Yaani moyo wangu unapata mateso hali ya juu na linaniongezea hasira juu ya ccm na magamba yote yanayounda hili liccm.natamani 2015 ingekuwa kesho asubuhi
 
Nalimiss sana, najua online lipo (ingawa sioni update.) ila haitawasaidia kuingiza mapato.Ningeshauri wawe na soft version katika PDF na watu wawe wakipokea kupitia emails.Usajili uwe Nchi nyingie.malipo yanaweza kuwa madogo km subcriptions, na kwa edition tofauti ili kuweza kama kundi kubwa la watu na matangazo.
 
Back
Top Bottom