may be we do need kings | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

may be we do need kings

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Leonard Robert, Aug 18, 2012.

 1. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,147
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  may be it is our nature to have these super-rich, super-powerful people in our society...they are no ''real'' kings anymore but there are people making more or less officially the same calls that kings used to make(think of king mswati) hiko wazi tunitaji stonger leaders than we think we do....

  Democracy is not that great..
  Hakuna nchi chini ya jua yenye hii demokrasia kwa maana halisi...hakuna nchi inayowakilisha wananchi wake kwa namna moja ama nyingine kiwango kinachohitajika..there is no country in the world where the system allows for this..
  Ndugu zangu Demokrasia inayosemwa ni uhuni mtupu.. Kwa mfano.. Demokrasia inaweza kuitaji asilimia 50 ya watu kupitisha kinachoitajika... Kichekesho ni kwamba hao asilimia 50 inaweza kuwa ni total brainless morons who have been programmed to vote the way they did.. Funnily enough is exactly what we have today!..

  Wingi wa watu bila kujali ubora wa uwezo wao wa kuchambua au kujua mambo au mbinu zilizotumika kupata hilo kundi kubwa(majority) hii ndio inaitwa Demokrasia..

  Uwenda ufalme ni bora kuliko hii CAPITALISM-DEMOCRACY..
   
 2. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,147
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  karibuni wanajanvi tujadili
   
Loading...