AICC Hospitali Arusha...Rekebisheni Hii Kitu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

AICC Hospitali Arusha...Rekebisheni Hii Kitu!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by PakaJimmy, Aug 18, 2012.

 1. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Hospitali ya AICC Arusha ni moja ya hospitali za Private za hadhi ya juu kabisa mjini Arusha na hakika mazingira yake ndani na nje ni sehemu ya tiba.
  Pamoja na sifa hizo, nawaomba AICC wekeni TV sets kwenye maeneo ya mapokezi na pale kwenye foleni za kuingia kwa madaktari ambako kuna foleni kubwa za watu!
  Ni ishu ndogo tu lkn amini usiamini inaleta psychological healing kwa mgonjwa, tofauti na sasa ambapo watu wanasinzia hadi kumwaga udenda kwenye mabenchi, without anything to keep them at least busy!
   
 2. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,090
  Likes Received: 10,448
  Trophy Points: 280
  Well said.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mkuu,
  Wanaboa sn hawa! Tunajua wanapenda sn hela, lkn Customer Service ni part of Investment, japokuwa ni non-cash!
   
Loading...