Billion 140 za sensa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Billion 140 za sensa.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by frema120, Aug 18, 2012.

 1. frema120

  frema120 JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 5,103
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Nina kijana alipigania sana nafasi ya ukarani wa uandikishaji wa sensa tangu mchakato wa mwanzo, na alinificha kumbe alitoa rushwa ya sh 60,000 baadaye sh 54,000...

  Jana anakuja analalamika sana juu ya mateso na tabu anazopata katika mafunzo, na vitisho vya kuchujwa n.k
  sasa nikamhuliza unalipwa sh ngapi?
  hakaniambia sh 210,000 tu yani ( 7 x 30,000)

  je kweli
  ~top level wanapata ngap?
  ~midle level wanalamba ngap?
  ~operation line kwani walambe 210,000
  wakati ndio wanaoumia na madoso mafupo na marefu? nikweli billion 140 zinatumika au magumashi tu ya miccm kuchakachua mipesa ya UN.

  V
  SENGEREMA.
   
 2. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2012
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...Ni kweli alikuficha???
  ...Alihonga shilingi 114,000/= akitegemea kuwa malipo ya shilingi Ngapi???
  ...Kama alikuficha wakati wa kuhonga kwa nini akuambie sasa??
  ...Umechukua hatua gani baada ya kugundua kuwa kijana wako amehonga 114,000/= ili kupata kazi ambayo
  hajui kipato chake cha mwisho kitakuwa shilingi ngapi??
  ...Haya malalamiko yake sasa yanakuja baada ya kugundua kuwa walidanganyana vijiweni kuwa malipo ya
  ukarani yangekuwa ni shillingi Milioni na Ushee ndio maana akawa tayari kuhonga 114,000/=??

  ...Baada ya kijana wako kukiri kuwa amehonga mtu 114,000/= ili kupata kazi ya muda ya ukarani wa Senda
  MMCHEKUA HATUA GANI ?????
   
 3. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2012
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...Ni kweli alikuficha???
  ...Alihonga shilingi 114,000/= akitegemea malipo ya shilingi Ngapi kwa kazi aliyokuwa akihongea???
  ...Kama alikuficha wakati wa kuhonga kwa nini akuambie sasa??
  ...Umechukua hatua gani baada ya kugundua kuwa kijana wako amehonga 114,000/= ili kupata kazi ambayo
  hajui kipato chake cha mwisho kitakuwa shilingi ngapi??
  ...Haya malalamiko yake sasa yanakuja baada ya kugundua kuwa walidanganyana vijiweni kuwa malipo ya
  ukarani yangekuwa ni shillingi Milioni na Ushee ndio maana akawa tayari kuhonga 114,000/=??

  ...Baada ya kijana wako kukiri kuwa amehonga mtu 114,000/= ili kupata kazi ya muda ya ukarani wa Senda
  MMCHEKUA HATUA GANI ?????
   
 4. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  mara nyingine jifunze kuedit habar unayoitoa kabla ya kuiweka hewan...thread yako imejaa vumbi.nkija ktk hoja n kwamba kama dogo alihonga kaz ni waz kua anakuficha pesa kamili anayolipwa.malipo ya sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 yapo km ifuatavyo.
  -35,000 kwa siku katika mafunzo bila kujali uko ktk dodoso lipi.hapa zinatofautiana siku tu za mafunzo kwa maana ya kwamba watu wa dodoso refu wana siku km 3 zaidi.
  -malipo ya kazi yenyewe ni 250,000 ambayo itafanyika takriban siku saba kuanzia tarehe 26 mwezi huu wa leo.
  -35,000 kwa nauli kwa ajili ya shughuli za sensa.
  Ukijumlisha hapo inakua ni zaidi ya laki tano kwa kila kalani.
  Watu wanalalmika pesa kidogo kwa kiwango hcho na co km anavyosema dogo.
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kachukulia poa tu sabab bongo ndio tushakuwa wahivyo..
   
 6. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2012
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...Umenena vyema Mkuu! Nadhani Tatizo liko hapo nilipo-bold. Mkuu mwenzetu amshikie bango kijana wake aseme kweli maana kwanza ameishamdanganya kwa kumpa mtu rushwa ya shs 114,000/= bila kumshauri yeye!
   
 7. Msolopagazi

  Msolopagazi JF-Expert Member

  #7
  Aug 18, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 659
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Hili zoezi la sensa ni wizimtupu hayo mabilioni ni EPA nyingine maximum watz tuko 50 mil ukigawa kwa Bil 140 ni sawa na mtu mmoja kuhesabiwa kwa gharama ya mil 2.8 je hii ni kweli toa posho za watu,karatasi na nk duh kweli nchi hii inatafunwa bado gharama za vitambulisho vya Taifa na sherehe za miaka hamsini ya uhuru
   
 8. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #8
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,733
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 180
  Some Sh 140 billion will be spent on the
  national population census across the
  nation which is expected to run for seven
  days beginning August 26, this year. Speaking during the launch of a Publicity
  and Advocacy Campaign for the 2012
  Population and Housing Census, Prime
  Minister Mizengo Pinda said this was a lot
  of money, and that it calls for the
  seriousness it deserves – coming every ten years. “This Sh141 billion comes from taxpayers
  and development partners … and we
  hope it will cover all the necessary
  expenses,” the premier said. However, the prime Minister emphasised
  that there was no relation between the
  forthcoming census and religious beliefs,
  saying that it focused mainly on the
  collective national development effort. He said that all matters connected with
  faith were the preserve of the clergy
  themselves in their respective
  denomination and mosques for specific
  purposes -- and were hardly relevant to
  the census exercise. Touching on Muslims who had earlier
  threatened not to participate in census
  because the religious aspect was not
  included in the questionnaire, the Prime
  Minister dismissed such claims as
  meaningless and wouldn’t help anyone. “I have read some of their concerns in
  books which the Muslim used as a basis
  for their intended protests … some of
  these books are alleged to have
  supported claims in certain statistical
  data showing that Christians outnumber Muslims,” Pinda noted The premier underlined that the
  government wasn’t in anyway involved
  with such statistics, nor issued that data
  – because all government data are issued
  by the National Bureau of Statistics. In any case, Pinda said knowing the
  exact number of Christians and Muslims
  will never be done alongside the census
  exercise because of the sheer magnitude
  of the work involved in doing so. He added that a refusal to take part in
  the exercise means that “ you refused to
  take part in your own development …
  when you consider that the government
  is spending such colossal amounts of
  money from the very taxpayers.” Preparations for the 2012 census which is
  slated for August 26 through September
  2, this year, started way back in 2004. The preparation involved the mapping
  professionals who traversed the entire
  country – and passed through every
  village across the nation to designate the
  enumeration centres. He said the government will use the
  census information to chart out various
  development activities, in policy making
  and in poverty reduction strategies. The premier the government would
  consider extending the time allotted for
  the exercise – just in case there was
  need to do so, else the September 2
  deadline holds. Earlier, the Dar es Salaam Regional
  Commissioner, Said Merck Sadique noted
  that the concerns raised by some Muslims
  should be ignored by all Tanzanian. “The exercise is not about religion
  because we are not planning to build
  churches or mosques … we need the
  number of people for development
  plans,” the RC said, adding that the region
  is putting final touches – such as supply of census equipment as well as the
  training more that 17,000 census
  supervisors in his region. On his part Commissioner for Census,
  Amina Mrisho Said echoed the sentiments
  of the leaders, saying this year’s census
  was “very unique … because it goes
  together with the register for national
  identity cards. The commissioner assured Tanzanian that
  all information collected during the
  exercise will be treated as confidential
  data. Speaking during the launch, the Second
  Zanzibar Vice-President, Ambassador Seif
  Ally Idd, said a big number of census
  equipment had since been supplied. “Lack of knowledge about the
  importance of the census to society
  remains a big challenge now … because
  it’s through ignorance that people are
  reluctant to participate,” Ambassador Idd
  noted In her remarks, the Deputy Minister for
  Finance, Saada Salum said that the
  training for census supervisors was
  expected to officially wind up tomorrow
  across the country.
  THE GUARDIAN
   
Loading...