"Kila raia ana wajibu wa kulinda, kuhifadhi na kudumisha uhuru, mamlaka, aridhi na umoja wa taifa....hakuna mtu atakayekuwa na haki ya kuwazuia raia wa Jamhuri ya Muungano kupigana vita dhidi ya...
Familia tatu zimejifungia msikitini mkoani kibaha toka zoezi la sensa lianze wamesema wao ni waislam safi na hawako tayari kuinajisi dini ya mwenyezi mungu.
Amri kutoka kwa mkuu wa wilaya kibaha...
MAMLAKA ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), imesema umri wa madereva wa Usafiri wa Umma unapaswa kuanzia miaka 30 hadi 60 ili kuepusha ajali za mara kwa mara.
Hatua hiyo imekuja wakati...
Hiki ni kipande cha barua ya mwenyekiti wa serikali ya mtaa Oysterbay kuwaalika wananch wake washriki sensa, Ametumia kiingereza kisome na wewe na upge picha je wananchi watamwelewa? licha ya kuwa...
Habar za hapa. NDUGU ZANGU NIMEKUWA NA TATIZO SUGU TANGU MWAKA JUZI 2010. NINAPOLALA USIKU KATIKA NDOTO HUWA NAHISI KUNA KITU HAKIKO SAWA. KWENYE CHUMBA CHANGU ILA NIKAENDELEA...
Wanabodi,katika mikakati ya mafisadi kupambana na Dr.SLAA na Chadema wameamua kutumia kijijarida cha Sauti.mpango huu unadhaminiwa na El na kanisa la TbJ Wa Nigeria ambaye anasifika sana kwa...
From the Urantia Book pg 490
43:5.3 The Constellation Father. The present Most High ruler of Norlatiadek is number 617,318 of the Vorondadek series of Nebadon. He saw service in many...
Pengine turudi na usemi usicheke msiba wa mwenzio nimesoma gazeti moja leo la tanzania daima linasema rc njombe aibiwa.
Ukisoma kwa ndani utaona ameshangaa kuibiwa majuzi akiwa mkuu wa mkoa na...
Alhamisi, Agosti 30, 2012 | Na Pendo Fundisha, Chunya | Gazeti la Mtanzania
HALMASHAURI ya Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya imeanza kutumia usafiri wa boti na mitumbwi kwa ajili ya kuwafikia...
Leo Zitto Kabwe aliahidi kuwepo kwenye mkutano wa M4C hapa mjini Morogoro,katika hali ya kushangaza Zitto hakuweza kutokea mkutanoni japo aliahidi kutokea hata kama angechelewa, cha ajabu zaidi...
Mbona Watu wa Mjini Tuliambiwa tutaulizwa maswali mengi zaidi ya 63 lakini mimi nimeulizwa maswali Nane tu oi au Wamechukua vilaza kuwahesabu watu so wameshindwa kusoma vipengele vingi...
1...
Habari za uhakika kabisa ni kwamba Le Mutuz Big show, Le Baharia @NY City then Dodoma City amejaza na tayari amerudisha forms za NEC -Taifa. Jamaa anapambana na vigogo akina Lukuvi...
Wadau,
Napenda kutoa hisia zangu juu ya mada hapo juu. Katika Tanzania hii ya leo SI KILA GAZETI LINAFAA KWA KUSOMA, NA SI KILA GAZETI LINAANDIKA HABARI. Nina chomaanisha hapa ni kuwa vyombo vya...
Inanipa shida kidogo kwa raisi mpendwa wetu kutoshituka na migomo na maandamano haya yanayotokea kila kukicha nchini kwetu migomo haya kama ya Dr,waalimu,wafanyakazi mashirika mbalmbali na sasa...
Posted by Pamela Mollel on August 29, 2012 Mtoto aliyepigwa na askari polisi hadi kupoteza fahamu,Kadogoo Kalanga(16)mkazi wa Orkesmet Wilayani Simanjiro akiwa katika chumba cha wagonjwa...
Hivi serikali yetu hiko wapi wakati hawa wakoloni wanarudi na mambo yao ya kikoloni na ubaguzi kwa Watanzania?
Wafanyakazi wa kampuni ya STRABAG wananyanyaswa kama mbwa. Hawana haki mbele ya...
Salaaam ndugu zangu,
Naomba mwenye uelewa juu ya maswala haya anipe info kidogo,ninahitaj kusajiri NGo,ila sijui ni vitu gani vinahitajika ili kusajiri,msaada jamani
WAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harisson Mwakyembe amewataka wadau wa usafiri wanaojadili sera ya reli kutumia utaalamu na uzoefu walionao kupanga aina ya daraja la reli ambayo Tanzania inaweza kuwa nalo...