Migomo hii rais jk imekaaje

wizaga

Member
Nov 27, 2011
70
8
Inanipa shida kidogo kwa raisi mpendwa wetu kutoshituka na migomo na maandamano haya yanayotokea kila kukicha nchini kwetu migomo haya kama ya Dr,waalimu,wafanyakazi mashirika mbalmbali na sasa nayaona haya ya wananchi
nasema hivi kwa sababu migomo wa sensa ni mgomo wa wanachi wachini kabisa ,ingawa ina sura ya udini lakini ni ya wanchi wasioelewa kitu je raisi chukua hatua ndugu yangu,migomo hii sio nzuri ,inaachilia hali sio nzuri huko mele .bundi akilia kuna jambo laja
 
Back
Top Bottom