Siri nzito gazeti la SAUTI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siri nzito gazeti la SAUTI

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TEMILUGODA, Aug 30, 2012.

 1. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Wanabodi,katika mikakati ya mafisadi kupambana na Dr.SLAA na Chadema wameamua kutumia kijijarida cha Sauti.mpango huu unadhaminiwa na El na kanisa la TbJ Wa Nigeria ambaye anasifika sana kwa kulivuruga taifa hilo kwa kutumia uchawi kufanikisha dhamira za mafisadi.HIVI SASA YUPO KARIBUNI KUTUA NCHINI KWA AJILI YA KUTUA MAGOGONI NA KUWEKA MAUCHAWI ILI KUMNG'ARISHA EL.NI WAKATI WA WATANZANIA KUONGEZA HASIRA DHIDI YA MAKUNDI YOTE YA KIFISADI HAPA NCHINI EG.GAZETI LA SAUTI,MAOFISA POLISI,TBJOSHUA,EL,CCM NA WENGINE WENGI.UNATAKA UNAISOMA HUTAKI UNAACHA,SUBIRI MATOKEO. Source:NI Sauti halali ya Mungu wa kweli.
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,497
  Likes Received: 19,910
  Trophy Points: 280
  hauchelewe kusema freemasoni nao watakuwepo
   
 3. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Only truth shall stand 4rights.
   
 4. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Is see neither logic nor point so to speak. Help me out there what does this man mean?
   
 5. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #5
  Aug 30, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Aisee!
   
 6. Mingoi

  Mingoi JF-Expert Member

  #6
  Aug 30, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 10,636
  Likes Received: 2,344
  Trophy Points: 280
  Igweeeeeeeeeee!!!
   
 7. luhala

  luhala JF-Expert Member

  #7
  Aug 30, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 412
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Gazeti hilo limeanzishwa na kina Nape na na jopo la mafisadi wenye hofu na hatima yao baada ya nchi kukombolewa. Linaandika habari wanazopewa na TISS waliopewa mision ya kuwavuruga wananchi ili waichukie CHADEMA na vuguvugu la ukombozi.
  My take: Watanzania wa leo si wale waliokuwa wakiamini kila uharo toka gazetini na sanasana mnawaongezea chuki dhidi ya mkoloni CCM.
  Siijui CCM imelogwa na nani? Au ni laana kwa waliyomfanyia muasisi wao Nyerere? Naona kila wanalojaribu linawamaliza! Hebu angalia kule Morogoro wamepiga watu mabomu na kuua kwa risasi za moto lakini nakwambia ule ulikuwa mkutano mkubwa kuliko yote iliyopata kufanyika pale. Nilihudhuria na kuona kwa macho yangu mwenyewe. Jamani kama mambo yenyewe ndiyo kama vile acheni hawa jamaa wapate homa ya kuharisha kama tunavyoshuhudia sasa wakiweweseka mithili ya wagonjwa wanao recover toka kwa dawa ya usingizi aina ya Ketamine.
   
 8. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #8
  Aug 30, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  hilo gazeti hata kuliona sijawahi na sihitaji kulisoma pia.
   
 9. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #9
  Aug 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  Hongera kwa kujaza seva ya jf upupuh
   
 10. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #10
  Aug 30, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  CCM wana mambo 2 waweza kuisononesha tena nguvu ya umma; kuiba kura au kujitangazia ushindi. Basi. Hakina mtu anaioenda CCM kwa at SAUTI au JB JOshua.

  CCM MUST GO!
   
 11. Jomy

  Jomy JF-Expert Member

  #11
  Aug 30, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 378
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 60
  Upo ryt na kwa wafuatiliaji wanaelelewa
   
 12. Echolima

  Echolima JF-Expert Member

  #12
  Aug 30, 2012
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 3,169
  Likes Received: 531
  Trophy Points: 280
  Hapa KANISA na TB JOSHUA wameingiaje?????? ongea point zenye mshiko usituletee sera za KUBAGUA WATU usiwe kama MAGAMBA.
   
 13. Goldman

  Goldman JF-Expert Member

  #13
  Aug 30, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 852
  Trophy Points: 280
  usilete imani za kishirikina, weka hoja, kama EL atakuwa hana hoja hawezi toboa.
   
 14. m

  majebere JF-Expert Member

  #14
  Aug 30, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,521
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Kwenda shule ni muhimu sana. Ikibidi niibe watoto wangu wasome basi nitaiba,kuliko huko mbeleni watoto wangu waje wafaye upumbavu kama huu.
   
 15. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #15
  Aug 30, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hili rijalida kichefuchefu tu .
   
 16. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #16
  Aug 30, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Sisi tu Mungu, wao wana maruhani, tutashinda TU...
   
 17. s

  sanga malua JF-Expert Member

  #17
  Aug 30, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  watu siku hizi hawasomi magazeti labda siku wakisikia YANGA AU SIMBA kafanya jambo kubwa ndio wananunua na kusoma habari zao tu basi.
   
 18. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #18
  Aug 30, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  sijui kwenye siasa wanaingizaje mambo ya Dini!?
  hapo upuuzi wake ndo ulipo!
   
 19. c

  chief72 JF-Expert Member

  #19
  Aug 30, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 567
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  tbj, ndie aliemtabilia EL kuwa rais wa awamu ijayo
   
Loading...