Kwa nini bendera ya Chama inapepea ikulu au ofisi za serikali

Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
4,324
1,892
Ikulu ni ya Watanzania wore na majengo ya serikali.nchi nyingi hawana hata bendera wala uniform .
 
Natalia,kuhusu ikulu usije ukawa unachanganya bendera ya rais na ya CCM,upande wa ofisi za serikali ndio kwanza ninasikia kwako.
 
Duh we mtu wewe, Pale Ikulu kuna bendera Mbili kuu ambazo hupeperushwa,
1.Kuna Bendera ya Rais
2.Bendera ya Taifa
Nadhani wewe waidhania Bendera ya Rais kuwa ni Bendera ya CCM.
Utofauti wa Bendera ya Rais na Bendera ya CCM ni kwamba;
~Bendera ya Rais ina nembo ya Taifa.
~Bendera ya CCM ina picha ya Jembe na Nyundo.

Nadhani utakuwa umeelewa, kama nami nimepotoka pahala flani naomba mnisahihishe.
 
Back
Top Bottom