Mkuu wa mkoa mpya wa Njombe aibiwa.

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Pengine turudi na usemi usicheke msiba wa mwenzio nimesoma gazeti moja leo la tanzania daima linasema rc njombe aibiwa.

Ukisoma kwa ndani utaona ameshangaa kuibiwa majuzi akiwa mkuu wa mkoa na akiwa na ulinzi
wakati amekuwa mkuu wa wilaya muda mwingi bila kuwa na ulinzi akuibiwa

anyway pole san mkuu hao ndio walinzi wenu kwanza nimesikitika kusoma unahisi walinzi wa kampuni ya ulinzi sikuhiy ndio wahusika najiuliza mkuu wa mkoa analindwaje na ulinzi wa kampuni wakati washenzi wachache pale masaki wanalindwa na polisi tena wengine wakurugenzi wa kampuni

.siitaji kulalamika kwa hili alichoniacha hoi alisema anauhakika watakuwa wamehusika walinzi maana tangu aingie wakati mwingine usiku amekuwa akikuta wanaingia lte na wengine wanashinda kwenye pombe

sasa nimejiuliza kama alikuwa anajaua wanashinda kwenye pombe iweje amekaa kimya mpaka aibiwe ndio analalamika walikuwa wanashinda kwenye pombe........,
 
Mkuu wa mkoa mpya wa Njombe ameingiliwa na kuibiwa kwenye ikulu hiyo ndogo ya mkoa. Majambazi walivamia na kuiba vitu mbalimbali ambavyo thamani yake haijajulikana kulingana na source yangu.

Mkuu huyo alipoulizwa kuhusu swala hilo alisema haoni haja ya kuwa na walinzi kama wameweza kuingia na kuiba. RPC alipotafuta kuzungumzia swala hakupatikana.

My take: Kama ikulu inaibiwa na walinzi wakiwepo sasa huku uraiani watu si ndo watachinjwa kama mbuzi. Kuna haja ya kuanza kujihami sisi wenyewe coz naona usalama wetu uko mashakani.

Source Rafiki yangu yupo Njombe
 
polisi wako busy kwenye kuzuia maandamano na mikutano ya wapinzani kazi za ulinzi ni za wahusika wenyewe wenye nyumba
wakiitwa kuzuia maandamano wapo wengi ila kuwalinda raia na mali zao hawapo kabisa na jeshi halina vitendea kazi
 
Mkuu wa mkoa mpya wa Njombe ameingiliwa na kuibiwa kwenye ikulu hiyo ndogo ya mkoa. Majambazi walivamia na kuiba vitu mbalimbali ambavyo thamani yake haijajulikana kulingana na source yangu. Mkuu huyo alipoulizwa kuhusu swala hilo alisema haoni haja ya kuwa na walinzi kama wameweza kuingia na kuiba. RPC alipotafuta kuzungumzia swala hakupatikana.
My take: Kama ikulu inaibiwa na walinzi wakiwepo sasa huku uraiani watu si ndo watachinjwa kama mbuzi. Kuna haja ya kuanza kujihami sisi wenyewe coz naona usalama wetu uko mashakani. Source Rafiki yangu yupo Njombe

My Sonoooooooooh! So AMEINGILIWA? Oh ooooooh! IKULU HIYO NDOGO? Mai waneeeee! Kisha wakaiba?? Miiooooooooh! mmmmmmmmmh!
 
Hahahaaa! Wonders shall never end. Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa anaibiwa? Wamebakiza magogoni.
 
Hahahaaa! Wonders shall never end. Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa anaibiwa? Wamebakiza magogoni.

inji imejaa usanii mwingi na kupeana vyeo ili kula vizuri. Natamani wangemwiba na yeye kabisa.
 
Police wako bizzz kuzuia maandamano ya chadema jamani msiwalaumu! Isitoshe mbona twiga wanaibiwa mchana kweupe tena wanapakiwa kwenye midege ya kijeshi wakati jeshi tunalo na rada inafanya kazi 24/7
 
Cha kustaajabisha zaidi Mkuu huyo wa Mkoa Asseri Msangi Ni Kapteni wa Jeshi La Wananchi Mstaafu..!
 
Pole Mkuu. Pamoja na Walinzi wake lazima wawajibike kwa hilo tukio lakini na yeye asisubiri mpaka maji yamwagike ndio azinduke.

Chakarika Mkuu tumia madaraka yako ipasavyo.Ukiona wana kubip wewe watwangie live.
 
Khaka veya! ingekuwa ensi sile sa samani ningesema labda ni yule Mawonzorero au pwagu amefanya vitu fyake sasa sijui nisemeje be!!!
 
Kwa cheo chake anawaibiwa walipa kodi. Hivyo si vibaya wananchi maskini wakijirudishia japo kidogo. Hii ni kuonyesha wakuu wa mikoa na wilaya wasivyohitajika.

Ni dhahiri kuwa wananchi sasa wameamka na wanajua ni nani anawaibia.

Heri wangewakataa kwa kuwafanyia vitendo vya kihuni kama hivi sawa na wao wanavyowafanyia huenda kilio chao cha kutaka wakuu hawa wasio na maana wala umuhi waondelewa kitasikika. Bravo mliomliza mwizi wenu.
 
Hiki ndicho wakitegemee, wao wenyewe wezi sasa wanashangaa nn kuibiana?!

Na polisi c kuwa wapo busy na chadema tu! Bali kulinda familia za mafisadi, kuua wanyonge na kuwanyang'anya haki zao, kusafirisha maliyasili za nchi hii, kuwaficha majangili (wageni) toka nchi za nje huku wazawa wakiteseka.

Hii nchi ya ajabu sana, wametuimbisha wimbo wa" tazama ramani utaina nchi..... Wkt viongozi wakuu wa nchi mipaka hawajui, angalia hili la ziwa Nyasa,DC kapoteza mbio za mwenge wilayani kwake ht barabara za wilaya yake hajui. Kweli?!

Wachina kibao na maduka ya maua kariakoo , garage pia mpk mashamba ya mpunga wanayo mbeya huko.
Angalia juzi walivyotuibia viwanja geza?! Wanaviwanja 1800 wanatoa form 15,000 huu c wizi wa waziwazi wa manispaa ya temeke?!

Walitoa fomu zote hizo za nn wkt viwanja hawana, nani aliwatuma. 390 mil (source uwazi 28/08 ) za watanzania wanyonge wasio na kitu wanazila bila huruma!!!!!
Hii kweli tanzania
 
Back
Top Bottom