Emanzi JF-Expert Member Oct 13, 2011 261 118 Aug 29, 2012 #1 Salaaam ndugu zangu, Naomba mwenye uelewa juu ya maswala haya anipe info kidogo,ninahitaj kusajiri NGo,ila sijui ni vitu gani vinahitajika ili kusajiri,msaada jamani
Salaaam ndugu zangu, Naomba mwenye uelewa juu ya maswala haya anipe info kidogo,ninahitaj kusajiri NGo,ila sijui ni vitu gani vinahitajika ili kusajiri,msaada jamani