1800
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 2,215
- 612
Leo Zitto Kabwe aliahidi kuwepo kwenye mkutano wa M4C hapa mjini Morogoro,katika hali ya kushangaza Zitto hakuweza kutokea mkutanoni japo aliahidi kutokea hata kama angechelewa, cha ajabu zaidi hata mawasiliano yake yalikuja kupotea mwishoni kutokana na kauli ya Dr Slaa!tunamshukuru kipenzi cha watu J.J.Mnyika, pamoja na uchovu na majukumu aliyokua nayo mchana mjini Dsm, ila alihakikisha amefunga safari na kudhuria M4C hapa Morogoro!Zitto tunapenda kujua huko pamoja nasi au wewe ni kenge ndani ya msafara wa Mamba?
wana Chadema wengi hawana imani tena na wewe!na mbinu uliyotumia kupotezea mawasiliano mwishoni wakati ulihaidi kuwepo mkutanoni ni utoto wa hali ya juu
wana Chadema wengi hawana imani tena na wewe!na mbinu uliyotumia kupotezea mawasiliano mwishoni wakati ulihaidi kuwepo mkutanoni ni utoto wa hali ya juu