Jamani ivi M/kiti wa Mtaa ni lazma atumie Kiingereza kuwasiliana na Wananchi?

KengeWaKijani

Senior Member
Jun 28, 2012
103
16
Hiki ni kipande cha barua ya mwenyekiti wa serikali ya mtaa Oysterbay kuwaalika wananch wake washriki sensa, Ametumia kiingereza kisome na wewe na upge picha je wananchi watamwelewa? licha ya kuwa broken.

Ichek na wewe

Picha yaweza kuwa ndogo but try to zoom it.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom