Nikanyonyesha mtoto ambaye simuoni katika uso usiku wa manane.

Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,375
3,655
Habar za hapa. NDUGU ZANGU NIMEKUWA NA TATIZO SUGU TANGU MWAKA JUZI 2010. NINAPOLALA USIKU KATIKA NDOTO HUWA NAHISI KUNA KITU HAKIKO SAWA. KWENYE CHUMBA CHANGU ILA NIKAENDELEA KUSEMA NI NDOTO ZA KAWAIDA LAKINI NILIWAULIZA WATU. WALINIAMBIA NDOTO IKIWA INAJIRUDIA MARA KWA MARA HIYO SIYO NDOTO. BALI NI WACHAWI /WAGANGA WA KIENYEJI NDIO HUWA NDANI YA CHUMBA CHAKO USIKU WAKIWANGA. SIKU ZIKAENDA HIVYO HIVYO NIKIISHI KWA WASIWASI NA KWA WIKI LAZIMA NINYONGWE USIKU KAMA MARA 4. ILIPOFIKA MWAKA HUU MWEZI WA 3 NILIONA IMEZIDI KWA SABABU MWILI WANGU UPANDE WA KULIA ULIKUWA KAMA UNAKUFA GANZI SAA AMBAYO HAO WATU WANAONINYONGA WANAKUJA. NIKAOMBA USHAURI NIKAAMBIWA NIKAWEKE MIFUPA YA KITIMOTO NDANI YA CHUMBA CHANGU. HII YA KITI MOTO ILINISAIDIA KWA MUDA KAMA MWEZI BILA KUNYONGWA, NIKASEMA WALE WACHAWI WAMESHINDWA KWA SABABU YA ILE MIFUPA YA KITIMOTO. KUMBE SIKU NINAYODHANI HIVYO NAO HUJA SIKU HIYO HIYO TE
 
hiy hiyo SASA SIKU MOJA MWEZI HUU MAMA MJOJA AKAWA ANAUZA VITABU VYA MAOMBI MJINI ARUSHA. NIKANUNUA KITABU KIMOJA CHA MAOMBI YA KUSHINDANA. AMINI USIAMINI TANGU NIMEANZA KUFANYA MAOMBI YA KILE KITABU NDIO NILIJIONGEZEA MATATATIZO. USIKU NINAOTA NINAMNYONYESHA MTOTO AMBAYE SIMUONI KWENYE USO, UKIZINGATIA MIMI NI WA KIUME NITAWEZAJE KUNYONYESHA? TANGU SIKU HIYO NINAPIGWA MATEKE KABISA KATIKA ULIMWENGU USIOONEKANA NA NIKIZINDUKA NAHISI MWILI WANGU HAUKO SAWA NISAIDIENI JAMANI .
 
hiy hiyo sasa siku moja mwezi huu mama mjoja akawa anauza vitabu vya maombi mjini arusha. Nikanunua kitabu kimoja cha maombi ya kushindana. Amini usiamini tangu nimeanza kufanya maombi ya kile kitabu ndio nilijiongezea matatatizo. Usiku ninaota ninamnyonyesha mtoto ambaye simuoni kwenye uso, ukizingatia mimi ni wa kiume nitawezaje kunyonyesha? Tangu siku hiyo ninapigwa mateke kabisa katika ulimwengu usioonekana na nikizinduka nahisi mwili wangu hauko sawa nisaidieni jamani .

komaa na maombi kiukweli sio kijuu-juu lasivyo mambo yatakua magumu kwako hadi ukate tamaa.
Unapokua unaomba omba kwa kumaanisha unacho kiomba,
amini kua yesu kristo ananguvu kuliko hao wachawi hivyo unapoomba omba kwa imani
kama hujui kuomba tafuta sehem ambapo watu huomba kwa pamoja na we usali nao ndipo uende kwako
usisali kwa wasiwasi.

Na kila unapo taka kulala usali kwa imani na kuomba yesu kristo akufunike kwa damu yake. Uyafanye hayo yote kwa imani lakini kama una imani uanzo kusoma vitabu vya namna ya kujenga imani yako
 
Ukimwamini na kumpokea Kristo Yesu unakuwa mtu wa Milki ya Mungu, Unafanyika kuwa MWANA, Unakuwa wa Uzao Mteule wa Mungu, Unaishi ktk Ukuhani wa Kiteule, unakuwa mrithi ktk familia ya Mungu.
Kwa hiyo jibu ni moja tu ndugu, jisalimishe kwa Yesu.
 
Apolonary hapo Arusha kama unaenda Njiro kituo kinaitwa BIA we shuka utaona bango kubwa la kisasa ZION CITY CHURCH hebu nenda hapo tena leo Jumapili, Jisalimishe hapo watakusaidia kumpokea YESU na wewe utakuwa kama PAKAJIMMY alivyosema...Sala zooote omba lakini sala ya KWANZAambayo Mungu huwa anisikia kwa mwanadamu ni pale anapomkiri YESU kama BWANA na Mwokozi wa MAISHA yake... Say this simple prayer " BWANA YESU nakukiri wewe kama BWANA na MWOKOZI wa Maisha yangu, Nina AMINI kwamba Mungu alikufufua katika Wafu, asante YESU kwa kuniokoa na kunifanya mtoto wako AMEN" OMBA kwa kumaanisha then nenda ZION CITY CHURCH utapata msaada zaidi.. BARIKIWA!
 
Apolonary hapo Arusha kama unaenda Njiro kituo kinaitwa BIA we shuka utaona bango kubwa la kisasa ZION CITY CHURCH hebu nenda hapo tena leo Jumapili, Jisalimishe hapo watakusaidia kumpokea YESU na wewe utakuwa kama PAKAJIMMY alivyosema...Sala zooote omba lakini sala ya KWANZAambayo Mungu huwa anisikia kwa mwanadamu ni pale anapomkiri YESU kama BWANA na Mwokozi wa MAISHA yake... Say this simple prayer " BWANA YESU nakukiri wewe kama BWANA na MWOKOZI wa Maisha yangu, Nina AMINI kwamba Mungu alikufufua katika Wafu, asante YESU kwa kuniokoa na kunifanya mtoto wako AMEN" OMBA kwa kumaanisha then nenda ZION CITY CHURCH utapata msaada zaidi.. BARIKIWA![NIMEKUPATA ILA WENG WANASEMA MAKANISA KAMA HAYO WANATUMIA NGUVU ZA GIZA JE NI KWELI
 
Tiba ya tatizo lako ni wewe mwenyewe ila kwa jinsi ya maelezo yako, unahitaji mtu/watu wa kukujengea msingi wa kusimamia juu yake. Hivyo kimbilia kwa kanisa la karibu nawe la watu wanaoukiri wokovu wa Yesu Kristo hapo utapata msaada sii tu wa kushinda tatizo lako tu bali hata wa kuwa mwombezi wa matatizo ya wengine. Ebrania 5:11-14.
.
 
Mimi kuna kipindi nilikuwa naota ndoto za watu walioshatangulia mbele ya haki,mara nawapa hela n.k!Hii kitu ilinitesa sana lakini niliombewa na Mch Uhwello na tatizo langu lilikoma!
Unaweza kumpigia Simu na akakuongoza katika maombi pasipo hata kwenda kwake.Amini utapona,Kwani Bwana Yesu alikwishasema hakuna jambo gumu LOLOTE linalomshinda yeye!!
Mch Uhwello: 0787017721 , 0768878753,yuko Arusha!
 
ukiomba uwe na imani!

Kaa sali omba na unapoomba vunja na kemea yote hayo. YESU ndiye mshindi wa wote
 
Nijibu fasta kiongozi, hiyo nyumba umepanga au yako kwa kujenga au kununua?
Tuanzie hapo
 
Nisaidieni jamani ninaish kwa mashaka sana.
Apolinary! maadamu bado unaishi, Mungu, JEHOVA loves you, just surender your loves to him, and all the troubles will be history! kamapakkajimmy na wengine walivyoshauri, mpe Yesu maisha yako, yeye atapigana kwa ajili yako, Jesus loves you in deed.
 
Hayo ni mambo yanayotokea katika ulimwengu wa roho. Kwanza tengeneza maisha yako na Mungu. Tubu dhambi zako na umwishie kwani hicho ni cha mtoto kwake. Ukisha fanya hivyo mkabidhi Yesu maisha yako, kisha vunja roho zote zinazo kusumbua kwa jina lake. Utalala vizuri sana. Ila sharti ni kuishi maisha matakatifu.
Habar za hapa. NDUGU ZANGU NIMEKUWA NA TATIZO SUGU TANGU MWAKA JUZI 2010. NINAPOLALA USIKU KATIKA NDOTO HUWA NAHISI KUNA KITU HAKIKO SAWA. KWENYE CHUMBA CHANGU ILA NIKAENDELEA KUSEMA NI NDOTO ZA KAWAIDA LAKINI NILIWAULIZA WATU. WALINIAMBIA NDOTO IKIWA INAJIRUDIA MARA KWA MARA HIYO SIYO NDOTO. BALI NI WACHAWI /WAGANGA WA KIENYEJI NDIO HUWA NDANI YA CHUMBA CHAKO USIKU WAKIWANGA. SIKU ZIKAENDA HIVYO HIVYO NIKIISHI KWA WASIWASI NA KWA WIKI LAZIMA NINYONGWE USIKU KAMA MARA 4. ILIPOFIKA MWAKA HUU MWEZI WA 3 NILIONA IMEZIDI KWA SABABU MWILI WANGU UPANDE WA KULIA ULIKUWA KAMA UNAKUFA GANZI SAA AMBAYO HAO WATU WANAONINYONGA WANAKUJA. NIKAOMBA USHAURI NIKAAMBIWA NIKAWEKE MIFUPA YA KITIMOTO NDANI YA CHUMBA CHANGU. HII YA KITI MOTO ILINISAIDIA KWA MUDA KAMA MWEZI BILA KUNYONGWA, NIKASEMA WALE WACHAWI WAMESHINDWA KWA SABABU YA ILE MIFUPA YA KITIMOTO. KUMBE SIKU NINAYODHANI HIVYO NAO HUJA SIKU HIYO HIYO TE
 
Back
Top Bottom