PICHA: NAPE NNAUYE KIONGOZI WA CC-CCM; Kaweka mtu Mwenye Bunduki asema ni wa CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PICHA: NAPE NNAUYE KIONGOZI WA CC-CCM; Kaweka mtu Mwenye Bunduki asema ni wa CHADEMA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nngu007, Aug 30, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  [h=6]Nape Nnauye
  [/h][h=6]NIMEIKUTA MAHALI HII, DUH!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!![/h]

  [​IMG]
   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Nimeona hii ameposti sikuweza hata kushiriki kwenye HOJA ya HABARI zake; Sababu hazina Maana... HIVI CCM ni YA KWAKE

  Waislamu Marafiki zake kwenye Facebook wote wanamuunga Mkono wanasema matatizo ni hao Wachagga; Hawajui HUYO MTU ni

  MLIBYA Mwarabu na Mwislamu

  Amevaa BENDERA HALALI YA LIBYA kabla ya GADAFFI kupindua NCHi 1969. Sasa Kama baadhi ya Ndugu zetu waislamu

  hawawezi kuchunguza habari

  Wanaamini yoyote NAPE anayosema; hatutafika kokote... na NCHI YETU na tulivyo na VIJANA ambao HAWAKUPATA ELIMU

  BORA... UHASAMA utaanza...


  [​IMG]

  The tri-colour flag was Libya's first national flag adopted when the country gained independence from Italy in 1951.
   
 3. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Nape ana akili za hovyo sana...
   
 4. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Sisi tunaijua siri ya zile Pickups za Mahindra kuwa zilinunuliwa na Jeetu Patel kwa fedha za wizi za EPA na zikamuweka madarakani Jakaya Kikwete.

  Hizo pick up zingine sidhani kama zina siri, tukichangia M4C kuzinunua anatubeza kumbe zinawasha. Hizo pickup ni duduwasha kwa Nape, lakini hata serikali inazo ktk idara ya kilimo, TBL ndo wanazo kibao na makampuni yote ya simu. Asivyo na business skills hajui kabisa kuwa manufacturers wanaweza kumshtaki kwa kuchafua jina la brands zao
   
 5. A

  Asha Abdala JF-Expert Member

  #5
  Aug 30, 2012
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 1,134
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Huyu kweli hayawani! Hizo za propaganda zao za picha za Libya zimenikumbusha madai ya Katibu Mkuu wake Mukama kwenye uchaguzi wa Igunga kuwa CHADEMA imeleta magaidi kutoka nje ya nchi Iran, Libya nk. Halafu mahakamani mtu mzima ovyo akayakana maneno yake.

  Asha
   
 6. s

  security guard JF-Expert Member

  #6
  Aug 30, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 706
  Likes Received: 258
  Trophy Points: 80
  uloweka picha uelewa wako mdogo sana .........siku ukija kuelewa utakuwa umeshachelewa....
   
 7. s

  security guard JF-Expert Member

  #7
  Aug 30, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 706
  Likes Received: 258
  Trophy Points: 80
  Unamapungufu sana katika hoja....mapinduzi ya waarabu ni mipango ya nchi za mgharibi hasa mataifa makubwa li waje wazinyonye zile nchi na walitumia hizo pick up kusaidia na kushawishi watu waiharibu nchi yao...ndio maana ya hizo picha ....unajua mmeahirisha mkutano baada ya pesa zenu chafu kuzuiliwa na si kupisha sensa......
   
 8. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #8
  Aug 30, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  [​IMG]


  2Share
  [​IMG]


  Thadei Mushi wajinga ndio waliwao unafikiri wahenge walikosea mwenezi? ila hapa ni wajinga waliokithiri
  August 24 at 9:28am
  [​IMG]


  Edwin Mgoa Obama alipitisha bakuli wakati anaingia madarakani sasa nshangaa kinachowauma nini? Kutoa ni moyo wala hakuna mtu wanayemlazimisha
  August 24 at 9:31am
  [​IMG]


  Thadei Mushi weken wazi yaliyonyuma ya pazia nyie acheni wizi
  August 24 at 9:32am · 1
  [​IMG]  Msouth Kindu Nape..! Huyo ndo Dj bwana,kama hujui shauri yako. Usishangae kesho kuona Padri nae anachangishwa. Sie lringa tumeshazoe kuchangishwa,maana tumeshawai kuchangishwa alipokuja Nasari.
  August 24 at 9:35am · 1
  [​IMG]  Thadei Mushi movement 4 chaga (pesa ni zaidi ya kila kitu uchagani)
  August 24 at 9:38am
  [​IMG]  Msouth Kindu Ndio Obama alichangisha watu,lakini kilichokuwa kinatoka kwa wafadhiri kilikuwa wazi edwin
  August 24 at 9:38am · 1
  [​IMG]  Edwin Mgoa Mimi sio mwanachma wa chama chochote ila ninachokijua ni kawaida kabisa duniani kote watu huwa wanachangia vyama vyao.Hata nyie huwa mnachangisha tena wafanya biashara wakubwa kitua ambacho mimi sikiungi mkono maana kuna njia hao wanafanya biashara wanazirudisha pesa zao. ila kwa sisi walala hou wacha tuchangie kiroho safi.
  August 24 at 9:39am · 2
  [​IMG]  Steve Emmz we msouth kujipendekeza tu,,kwani hao wenyewe ziziemu jengo na pesa hawadhaminiwi?...
  August 24 at 9:41am
  [​IMG]  Mo Meca Nape unanifurahisha sana unavyokimaliza Chama Cha Magamba kwa ustadi mkamilifu bila wewe mwenyewe kujua kama unakimaliza....
  August 24 at 9:45am · 1
  [​IMG]  Thadei Mushi kama anakimaliza mbona mnamshitua? si mumuache akialize ili chandimu mshinde? kelele zenu kuwa Nape Nnauyeanakimaliza chama ndizo zinazotufanya tuamini anawakaba kila kona mm nafikiri mpinzani wako huna haja ya kumwambia anapokosea kwa kuwa unantakiwa utumie makosa yake kujinufaisha nafikiri umenisoma Mo Meca
  August 24 at 9:51am · 1
  [​IMG]  Mo Meca Hapa nimemwambia kama kiongozi mkuu wa chama kwasababu kuna wakati anazungumza au anafanya vitu mpaka unajiuliza huyu kweli ni kiongozi wa juu wa chama. Hoja yako imesikiwa Bwana Thadei na kuanzia leo tutamuacha aendelee kutiririka mpaka chama kitakapo mfia mikononi.
  August 24 at 9:59am · 1
  [​IMG]  Julius Manning Sasa hivi CCM tusijifariji na propoganda za kwenye mitandao twende vijijini kufanya kazi ,mwenzio analima mpaka kwenye shamba lako lote wewe uko kijweni huku unamdharau siku akivuna na wewe nyumbani njaa ntele ndo utaanza kutafuta mchawi? Nape Nnauye njoo sasa Morogoro hasa vijijini uone ambavyo m4c walivyovuruga. kila kona wamekaba mpaka penalti. Mda wa kujifariji na kujiona kuwa CCM ni chama madhubuti umekwisha na imefikia hata mtu kugombea nafasi hasa za chini kama mabarozi tunafanya kulazimisha, acheni ofisi zenu ingieni kazini kama wenzenu. Kazi haifanywi kwa mitandao, hiyo kazi waachie UVCCM.
  August 24 at 10:32am · 2
  [​IMG]  Octavian Kimario Hahahaa....Hili kweli ni Vuguvugu la Kukusanya Chenji.....!!!
  August 24 at 10:33am
  [​IMG]  Ally Salum Hapi Ageuke tu!
  August 24 at 10:38am
  [​IMG]  Steven Phabian wanasema "nyani haoni kundule" hawa wenzetu watawala hawa huku mtaani mpaka tunawaita CHUKUA CHAKO MAPEMA,ukitaka kuona hili,sasa hivi kuwa kiongozi ndani ya chama tawala ni dili kwani ndo tiketi ya maisha bora,namaanisha huwezi kuwa na maisha bora mpaka uwe walau mjumbe wa nyumba kumi ndani ya chama,na ndo maana sasa unaona migongano waliyo nayo wao kwa wao,mfano mdogo angalia mvutano uliopo kwenye uongozi wa umoja wa wamama ndani ya chama chao utaona kabisa hawa jamaa kwa sasa "hawana habari kabisa na wananchi". Hivyo baada ya kutengwa na walionavyo(watawala),wananchi tumeamua kama Mwalimu ulivyoutafuta ukombozi na uhuru wa nchi hii nasi vivyo hivyo na inawezekana itakuwa zaidi ya aliyofanya Mwalimu,tuko tayari kuchangia harakati hizi za kujitoa mikononi mwao kwa hali yoyote ile(namaanisha hata kwa kidogo tulichonacho) haijalishi wasema nini,tuko tayari kwa mabadiliko.Wao(watawala) wanamiliki vingapi ambavyo vilipaswa viwe kwa wananchi wote bila kujali itikadi zao? inauma sana! Hivi walishawahi kwenda Hospitali za serikali kuona yanayojili huko,walishawahi kuonja hadha ya kukosa elimu kwa sababu ya kipato kidogo?.@Nape Nnauye Kama kweli mmedhamilia kurudisha IMANI yetu kwenu basi hamna budi kushughulikia haya(kueneza habari za maendeleo yanayomgusa mwananchi moja kwa moja na sio kueneza habari za wapinzani,hazitusaidii hata kidogo Mo Meca Me nafikiri tuendelee tu na haya mapambano kwani vikwazo hata Mwalimu alikutana navyo kwa kuwa walikuwa na wasiwasi kama ataweza! PEOPLES' POWER........!!!!!!!
  August 24 at 11:14am · 3
  [​IMG]

  SomelookForhappness Igivehappiness ‎@Thadei Mushi, nadhani pia maneno uliyomwambia Mo Maca, ungemwambia Nape, yanamhusu saaana coz samtime anafanya kazi za uenezi wa chadema pengine makusudi ama akijua,
  August 24 at 11:28am  [​IMG]

  Joshua Mwaikenda Haya mzee wa kugawa ubwabwa Igunga
  August 24 at 11:30am  [​IMG]

  SomelookForhappness Igivehappiness ‎@Nape,
  wapi ''Vua Gamba, vua Gwanda vaa uzalendo'' kampen yako uliyosema....?
  Nadhani tumeona na kujifunza vita kuwa mtu huwezi kupigana pekeyako

  August 24 at 11:31am  [​IMG]

  Assa Lwesya Kaka adui wa chama chako sio chadema ni mwana CCM,safisha chama chako utapata wanachama ,
  August 24 at 12:28pm · 3  [​IMG]

  Mabula Vladimir Assa Lwesa unaakili sana,inabidi ccm walifanyie kazi
  August 24 at 12:42pm  [​IMG]

  James Elias SAFI
  August 24 at 1:12pm  [​IMG]

  Msouth Kindu Ni wazo/mawazo mazuri ,Nakupongeza kuwa umetoa wazo la kujenga kwa Nape. julius maning
  August 24 at 4:18pm  [​IMG]

  Mkama J. Maugo Inachukua muda mrefu sana kujenga, muda mfupi mno kubomoa na gharama kubwa kukarabati! Tafakari chukua hatua!
  August 24 at 5:13pm  [​IMG]

  Mkama J. Maugo Too much talking has never changed any thing in the history of this world of ours!   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #9
  Aug 30, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,333
  Likes Received: 2,641
  Trophy Points: 280
  Nape hajielewi...kuna baadhi ya michezo hakucheza kipindi akiwa mtoto sasa ndio anaanza kucheza,kifupi ni kwamba anaelekea kubaya
   
 10. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #10
  Aug 30, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Achaneni naye huyo na propaganda mfu!!!!!!
   
 11. K

  Kageuka JF-Expert Member

  #11
  Aug 30, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 241
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani wapi kasma ni CDM au mnajihisi?...... Aaaaaagh!
   
 12. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #12
  Aug 30, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Na Misri na Tunisia walitumia hizo pick up vile???hv mikutano imehairishwa na cdm au baada ya IGP Mwema kuomba iharishwe??kweli Tanzania ina cartoons wa kutosha
   
 13. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #13
  Aug 30, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  hivi nape anajua kuwa zile mahidra walizopewa na jeetu patel kuwa zilikaa nchini bila kuwa na kadi?
   
 14. mangikule

  mangikule JF-Expert Member

  #14
  Aug 30, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 3,176
  Likes Received: 1,257
  Trophy Points: 280
  HIYO NEPI ITAANDELEA KUFANYWA GOGO LA MSALANI NA KIFUTIO CHA @#%%%$@ HADI KABURINI! WALA TUSIJALI!! KUWEWESEKA KOTE KUNATUANGALIZA KUWA M4C inafanikiwa tukaze buti tu!! GO MABWEPANDE KILLERS GOOOO!!!
   
 15. C

  Cartoons Senior Member

  #15
  Aug 30, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  nasikia siku hizi nape anakunywa gongo,ndio maana uwezo wa kufikiria umeshuka sana.
   
 16. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #16
  Aug 30, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
  Toka anyimwe gwanda amekuwa na wivu wa kike sana, Nepi fanya siasa acha wivu bhana...
   
 17. KML

  KML JF-Expert Member

  #17
  Aug 30, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mse...ng.e sana uuyu jamaa
   
 18. a

  afwe JF-Expert Member

  #18
  Aug 30, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 4,087
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160

  Ni lini alikuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri?
   
 19. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #19
  Aug 30, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  silishangai hili galasa maana hata aliyempa hicho cheo naye iq yake is very questionable!!yani nape na mwenyekiti wake ufahamu wao ni droo
   
 20. m

  malaka JF-Expert Member

  #20
  Aug 30, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 1,323
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  TO: NAPE
  CC : JF Members
  Subject: USHAURI WA MWISHO.

  Nape!! Najua unasoma hii kitu. Ni bora ukaungana na Mnyika, Dr. Slaa na wengineo wapiganaji dhidi ya Ufisad kuliko kuendelea Kuwasemea Mafisad wenyewe na kupingana hadharan na watu hao.
  Nitakupongeza sana kama labda unafanya haya kuivuruga CCM. Ila kama siyo hivyo bali unafanya kwa sababu ya kumfurahisha mwenyekiti kaka umekosea. Vijana wengi hatupo pamoja na wewe. Tunapenda kumsikiliza yule mwenye kidogo kutupa matarajio ya hali nzuri na kutupigania.

  CCM Inawenyewe na katika hao wenyewe wewe sio mmoja wapo.

  Regards,
  Malaka.
   
Loading...