Familia zajifungia msikitini kukwepa sensa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Familia zajifungia msikitini kukwepa sensa!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Safety last, Aug 30, 2012.

 1. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Familia tatu zimejifungia msikitini mkoani kibaha toka zoezi la sensa lianze wamesema wao ni waislam safi na hawako tayari kuinajisi dini ya mwenyezi mungu,Amri kutoka kwa mkuu wa wilaya kibaha imetoka ndani ya masaa 24 wawe wameondoka ,wamesema wao wanatetea haki za waislam wako tayari kufa na hawatatoka msikiti, wamekuwa wakipokezana kufuata mahitaji.
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,278
  Likes Received: 19,430
  Trophy Points: 280
  brain washed.
   
 3. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Huyu DC naye ana akili kama zao؛‎ hizo familia tayari zimekwisha hesabiwa, yeye anahangaika nazo kwa nini?.
   
 4. Asante

  Asante JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2012
  Joined: Dec 18, 2009
  Messages: 1,960
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 180
  Afya zao za akili zina mgogoro
   
 5. s

  sanga malua JF-Expert Member

  #5
  Aug 30, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  WATASHANGAA siku wakitoka watakuta wacha MUNGU wa kiukweli tumepata vitambulisho vya uraia na ukaazi hivyo kustahili kupata huduma muhimu kwa urahisi. wao watahesabika kama wageni hivyo kulipia kila huduma mara mbili ya raia wa TZ.AKIENDA KUSAJILI GARI gharama yake iwe mara tatu zaidi.
   
 6. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #6
  Aug 30, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Mkoa wa Kibaha upo wapi?
   
 7. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #7
  Aug 30, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Si wawaulize majirani inatosha!!
   
 8. c

  cheichei2010 JF-Expert Member

  #8
  Aug 30, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  naumia nikiona bado kuna watu wajinga kiasi hiki.Yaani uteseke kulala msikitini kisa kuhesabiwa.Dawa ni moja tu,wale wasio hesabiwa hapana kupewa huduma za kijamii,kwa sababu hawako katika bajeti.Na vitambulisho viwe issued kwa wale waliohesabiwa tu.
   
 9. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #9
  Aug 30, 2012
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Shehe Ponda amehesabiwa au yupo mahabusu?
   
Loading...