Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

  • Closed
Jamani naweza kuwa ni Mtanzania wa kwanza wa kutokufuatilia historia ya viongozi wetu, hivi ndugu Fredrick Sumaye yupo kweli? Sijamsikia kwa muda mrefu sana, hana mbio za uraisi au yeye ni waziri...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kama una fedha za Kigeni ambazo hazichenjiwi Bureau de Change nyingi ni Pm ama nicheck kwenye: 0714-074040 0767-074040
0 Reactions
0 Replies
891 Views
Naambiwa budget ya sensa ya mwaka huu ni Tshs160 Billion. Jana nikakutana na Mwenyekiti na Katibu Mtendaji wakaniambia mpaka sasa hawajalipwa na hata wakilipwa haitazidi shs 150,000 kwa mtu...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Sina hata haja ya kutoa maelezo mengi, leo Ijumaa ndiyo mwisho wa Sensa na kwa jinsi ambavyo nimeshuhudia zoezi lenyewe lilivyopelekwa pelekwa kwa vyovyote vile limefeli, tungoje idadi ya uongo...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
ukitaka kutawala vizuri Tanzania jenga magereza,imarisha majeshi yako,hubiri jukwaani kwamba watu waheshimu utawala wa sheria,himiza hakuna mtu aliyejuu ya sheria,hakikisha unakataa katakata...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
hiv sensa ya mwaka 2002 imetusaidia nini kutuletea maendeleo ?, kwani hal ya maisha ya sasa ni ile kabla ya 2002 ipi ni nzuri ?
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Surestream Petroleum awarded exploration licences in MalawiSurestream Petroleum Limited is pleased to announce that it has been awarded new exploration licences in Malawi. It has secured Blocks 2...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
T 000 CCM T 000 CDM T 000 CCK T 000 CUF. Mtu mmoja amekataa usajiri wa gari lake baada ya kupewa namba T xxx CCM akidai kuwa inamdhalilisha. Ameomba abadilishiwe au atasubiri mpaka hiyo CCM...
0 Reactions
9 Replies
14K Views
Tanesco wanasema wanatoa namba mbili za kuingiza kwenye luku kuanzia tarehe moja mwezi wa tisa mwaka huu na kuwa wamebandika orodha ya wakala watakatoa namba hizo kwenye ofisi zao. Nimejaribu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Zoezi la sensa nadhani lingefanikiwa kama lingekuwa chini ya wakurugenzi wa miji kama ambavyo walifanya katika daftari la wapiga kura.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mageresho pungufu,madodoso machache,nguo maalumu hazipo,note book yamekuwa madaftari,makalani na madai ya posho.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
tunaomba msaada makutano barabara ya kawawa na morogoro kwa sasa taa haziwaki na hakuna askari wa usalama bara barani wahusika tafadharini
0 Reactions
0 Replies
741 Views
Jamani nimeunganishwa umeme jumapili ya leo je ni sawa kwa wao kufanya hivyo jumapili?
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Leo Lowassa anatimiza miaka 59 tangu alipozaliwa binafsi simutakii maisha marefu mpaka arudishe maisha ya watanzania walikufa kwa kukosa madwa hospitalini huku yeye akijichotea mabilioni...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Nimekuw nikifuatilia Matangazo ya kazi mbalimbali kwa NGOs mbalimbali hasa kwa nafasi za kati na nimegundua NGOs kama OxFAM, RLDC na JIHPIEGO ni NGOs pekee hapa TZ zinalipa mishahara mizuri na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama waekezaji wageni hawatakiwi Isimani, hawatakiwi Tanzania nzima Lukuvi awakataa wawekezaji Isimani Wednesday, 29 August 2012 21:04 Mbunge wa Isimani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana jamvi natumai ni wazima naomba msaada wa maelekezo ya kufika ofisi za MSD Keko kwa kutokea Morogoro Road
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kabla na baada ya zoezi la sensa ya watu na makazi kuanza kumekuwa na mjadala unaoonesha kuwa baadhi ya watu hapa nchini bado hawajaona manufaa au umuhimu wa zoezi hilo. Hadi sasa kuna makundi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mh. msigwa mbunge iringa Mjini, amewaandalia chakula cha jioni makamanda wa chadema wailio piga kambi mkoani iringa katika muendelezo wa mikutano ya M4C. source: MH. PETER MSIGWA BLOG
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Hali si shwari katika manispaa ya Bukoba baada ya mabasi yaendayo wilaya za mkoa wa Kagera kuendelea na mgomo. juhudi za kujadili kero zao na mkurugenzi wa manispaa zimegonga mwamba baada ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…