Fredrick Sumaye | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fredrick Sumaye

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Baba Watoto, Aug 30, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Baba Watoto

  Baba Watoto JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 218
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  Jamani naweza kuwa ni Mtanzania wa kwanza wa kutokufuatilia historia ya viongozi wetu, hivi ndugu Fredrick Sumaye yupo kweli? Sijamsikia kwa muda mrefu sana, hana mbio za uraisi au yeye ni waziri mkuu wa awamu ya tano?
   
 2. z

  zamlock JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Ww utakuwa siyo mfuatiliaji wa habari kwenye nchi yako, yupo na anagombea uko kwao hanang kwenye chama chao hicho kinacho jikongoja
   
 3. sindano butu

  sindano butu JF-Expert Member

  #3
  Aug 31, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 478
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 45
  jamaa yupo kwenye maficho kwani ni gaidi la ufisadi!
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Aug 31, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Yupo anajiandaa na mbio za uraisi 2015.
   
 5. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #5
  Aug 31, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,282
  Likes Received: 1,432
  Trophy Points: 280
  Yupo na alikuwa na safari ya USA.
   
 6. n

  ngonani JF-Expert Member

  #6
  Aug 31, 2012
  Joined: Aug 27, 2012
  Messages: 1,371
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Hela alizokopa NSSF kununulia shamba la Kibaigwa aliisha rudisha?
   
 7. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #7
  Aug 31, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Huyo bwana ni mtu makini sana na waziri mkuu wa kihistoria. Kagonga awamu zote za Mkapa (miaka 10). Hajasema kama atagombea urais ni speculations za woga tu. Dr Slaa huyu ndiye kiboko yake, anamjua tangu wakiwa watoto.
   
 8. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #8
  Aug 31, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  2015 ataibuka tu nyie subirini
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...