Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

HOT NUUZ: FRANCIS GODWIN :NIMECHAGUA KUWA MKIMBIZI KATIKA KTK MKOA WANGU. AENDA MAFICHONI AKIHOFIA KIFO KABLA HAJATOA USHAHIDI NA KUSEMA UKWELI WA KIFO CHA DAUDI MWANGOSI! Mmiliki wa mtandao...
2 Reactions
25 Replies
5K Views
Tanzania kampuni nyingi hazina mafunzo ya kutosha ya biashara na hii ndiyo sababu kampuni nyingi zinakufa. Kwa Upande wa CRDB: CRDB wanaamini wamefanya kila kitu kuhamisisha watu wa USA kufungua...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mods mmeitoa post yangu niliyoandika kuhusu mafuriko yanayokuja? Siioni!! Na I hope mmeangalia ITV news at 8 maana wameeleza kuna mafuriko yaja.... Hebu nirudishieni post yangu kama iko nidirect...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kipindi fulani nyuma, serikali ilizindua www.wananchi.go.tz ili Watanzania wapate kuwakilisha kero zao kwa idara kadhaa za serikali moja kwa moja na kupatiwa majibu. Mwaka jana mwanzoni...
0 Reactions
0 Replies
871 Views
Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP),Said Mwema akimfariji mmoja wa majeruhi walioumia wakati polisi wakiwadhibiti wafuasi wa Chadema wiki iliyopita.Mwandishi wa Habari wa kituo cha Televisheni cha...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Asubuhi hapa kijijini kulikuwa na msiba,askari wakafika msibani na kuwataka wananyololo kufanya mazishi mapema ili kuepukana na dhahama au vurugu. Baada ya mazishi watu wote wakaambiwa...
7 Reactions
70 Replies
9K Views
Posted by M2S on September 7, 2012 Edit This Posted in: SIASA NA SERA. Leave a Comment Hakuna shaka yoyote kuwa Afrika ni bara tajiri sana katika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
Kaskazini, mashariki na kusini kuzunguka nje ya uzio wa Ikulu kuna idadi kubwa ya Askari FFU na vifaa vya kazi. Ni idadi kubwa kuliko siku zingine. Upande wa baharini mahali ambapo ni eneo la...
0 Reactions
73 Replies
7K Views
EXCLUSIVE: WAISLAMU WAITIKISA DAR KWA MAANDAMANO, WASWALI MBELE YA JESHI LA POLISI MAKAO MAKUU. Baada ya mazungumzo ya takribani saa kadhaa, baadhi ya viongozi wa Maandamano hayo walirudi kutoa...
0 Reactions
23 Replies
725 Views
Limefanikiwa shirika la india tata motors kutoa gari aina ya air pod,jambo lililopelekea ufaransa kuekesha oda ya nguvu itakayokabidhiwa mwisho wa 2013,gari hiyo ina uwezo wa kubeba watu watatu,na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salaam wana Jf kufungiwa kwa gazeti la mwanahalisi na kutokuwa na gazeti mbadala ni pengo kubwa imefahamika. Tanzania tunayo magazeti mengi ya siasa lakini mengi ya hayo magazeti yana nidham...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Salaam, Nimekutana na andiko la bwana Rajesh Rakani aliloandika yapata miezi mitatu iliyopita juu ya namna ambavyo tunaweza kujifunza kutoka kwenye mchezo wa mpira wa miguu, katika kuboresha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wengi wetu tunajua kuna baadhi ya watu wanafungwa kwa makosa ya kubambikiwa kesi na kupandikiziwa vidhibiti vya uongo na polisi, kama bangi, madawa nk. Hilo linajulikana, sula la kesi za...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
September 7, 2012 by Jesse Rutahigwa There is no doubt that Africa is very rich in terms of resources, what is missing is patriotic management of this resources. These have...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wana JF, Hivi karibuni katika miji ya Morogoro na Iringa iligeuka uwanja wa mapambano baina ya wafuasi wa Chadema na askari wa jeshi la polisi na kusababisha mauwaji ya raia wawili Ally Nzona...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kupitia ITV 'Habari za saa' wamesema kwamba wizara ya mambo ya ndani imetoa taarifa kuwa mh Nchimbi aliunda kamati na si Tume ili kuchunguza kadhia ya mkoani Iringa. Habari zaidi watatoa baadaye...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Ni matarajio yangu kuwa wengi wetu tu wazima humu JAMVINI, kwa wote wanaougua nakuuguliwa NAKUTAKIENI kupata nafuu na AFYA kwa haraka. Na KWA WALIOTANGULIA MBELE YA HAKI NINI ZAIDI YA KUWAOMBEA...
0 Reactions
2 Replies
978 Views
1. John Mnyika Nishati na Madini 2. Zitto Kabwe Fedha 3. 4. 5. 6. 8. 9. 10. 11. 12. 13. 14. 15. 16. 17. 18. 19. 20. 21. 22. 23. 25.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Marehemu Daudi Mwangosi akionyesha bahasha yenye malalamiko ya wanahabari dhidi ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Iringa Daudi Mwangosi (katikati) akiwa na naibu katibu wa IPC Francis...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Jukwaa la katiba limetoa tamko kuhusu tume ya Nchimbi. Tamko likisomwa na mwenyekiti wa jukwaa hilo limesema; "kwanza ile siyo tume ni kamati iliyoundwa na nchimbi, kamati hii haitambuliki...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…