Re: Mafuriko mwezi ujao (September).

Elisha Ray

JF-Expert Member
Mar 19, 2012
323
94
Mods mmeitoa post yangu niliyoandika kuhusu mafuriko yanayokuja? Siioni!! Na I hope mmeangalia ITV news at 8 maana wameeleza kuna mafuriko yaja.... Hebu nirudishieni post yangu kama iko nidirect kwani siioni... ;-)
 
Mafuriko ndani ya miezi 3 ijayo si Sept, ndivyo nilivyosikia mimi.
 
Mimi nadhani ilishajadiliwa vya kutosha. Period.
 
Mods mmeitoa post yangu niliyoandika kuhusu mafuriko yanayokuja? Siioni!! Na I hope mmeangalia ITV news at 8 maana wameeleza kuna mafuriko yaja.... Hebu nirudishieni post yangu kama iko nidirect kwani siioni... ;-)

Mod_wameitoa sababu ilikuwa dhaifu.period
 
Mods mmeitoa post yangu niliyoandika kuhusu mafuriko yanayokuja? Siioni!! Na I hope mmeangalia ITV news at 8 maana wameeleza kuna mafuriko yaja.... Hebu nirudishieni post yangu kama iko nidirect kwani siioni... ;-)

nenda jukwaa la dini utaikuta huko....!
 
Mods mmeitoa post yangu niliyoandika kuhusu mafuriko yanayokuja? Siioni!! Na I hope mmeangalia ITV news at 8 maana wameeleza kuna mafuriko yaja.... Hebu nirudishieni post yangu kama iko nidirect kwani siioni... ;-)
Umecheki jukwaa la dini? pengine ipo huko. Au kama vipi unaweza kumPM Invisible.

Btw, mwezi wa September si ndio huu umeanza mbona hakuna mafuriko? au yatatokea kuanzia katikati ya mwezi? Au maombi yetu yamejibiwa?
 
Hii thread umeitupia hapa tarehe 02 SEPTEMBA, 2012. Heading inasema
icon1.png
Re: Mafuriko mwezi ujao (September).
Mods wakiiondoa utakuja lalamika!
 
Umecheki jukwaa la dini? pengine ipo huko. Au kama vipi unaweza kumPM Invisible.

Btw, mwezi wa September si ndio huu umeanza mbona hakuna mafuriko? au yatatokea kuanzia katikati ya mwezi? Au maombi yetu yamejibiwa?

Thanks for the info ngoja nikaiangalie huko.. mwezi haujaisha mkuu tuendelee tu kuomba...
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Mafuriko mwezi ujao (September ).
Wakuu, I hope wote mko poa kabisa. Nataka kuwashirikishajambo. Kuna hali ya mafuriko makubwa yanayokuja kutokea Tanzania mwezi ujao.Kuna watu ambao Mungu amesema nasi ili tuombe toba kwa ajili ya nchi ili halihii isitokee na hasa kama itatokea basi isilete madhara ambayo yanaweza kutokeakama hatutaomba Mungu atunusuru na maafa.

Nchi yetu 'imemezwa na chatu'. Hii maana yake ni kwamba nchi hii imetumbukiakatika uchawi na kumwabudu shetani as nyoka ni shetani as well asuchawi/ushirikina. Watu waliopewa dhamana kwenye taifa hili iwe serikalini aukatika kanisa wamesahau wajibu wao na badala yake wanamkumbatia shetani na kazizake zote i.e uuaji na umwagaji wa damu zisizo na hatia, uchawi, wizi, uongo napia ukahaba umekithiri, uaminifu umepungua sana, ufisadi, upagani, ibada zamizimu, kuabudu shetani na mambo mengine yote yafananayo na hayo na kumchukizaMungu na amekasirika. Mambo yote haya tunayaona day in day out. Na watuwanafurahia watu waovu na uovu kuliko uadilifu na watu wanaotetea haki.

Mungu anaipenda sana Tanzania lakini anachukia uovu huu ndio maana ameonyeshanini kinakuja ili tuombe toba atusamehe na atunusuru na hali hiyo na kama badoitatokea basi isilete madhara makubwa au yasitokee kabisa.

Picha ya mafuriko yanayokuja yanaonyesha mvua kubwa sana ya kutisha na nusu yaDar ikiwa imemezwa na maji ambayo yamechanganyika na maji ya bahari. Hiiinaashiria gharika au kimbunga chenye mvua kubwa.

Kwa yeyote mwenye mzigo wa kuliombea Taifa hili tafadhali omba toba kwa ajiliya nchi yetu na ufunge kwa siku tatu kawaida na sio tatu kavu (utachaguamwenyewe siku za kufunga) ili Mungu atuepushie na balaa hili. Tafadhalimshirikishe na mwenzio.
Nimewashirikisha ili isije kula kwetu tuliopewa huu ujumbe kama tutakaa kimyabila kushirikisha wengine pia waombe.

Usichangie kwa kukashifu na kama huna mchango au huamini basi wewe pita tu naMungu atakubariki.
Mathayo 18:18, 2 Nyakati 7:14, Isaya 62:6, 45:11

Back
Top Bottom