Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wanajamvi, Nadhani mtakumbuka nilikuja na thread ya Ajali Mbaya ya Hiace Jimboni kwa Mwigulu Nchemba masaa mawili yaliyopita. Muda huu kuna taarifa ya kuwa mtu mmoja amefariki baada ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mie naomba niwaulize ndugu zangu Hivi kuna sababu maalum kwa nini viwanda alivyoanzisha baba wa taifa vimekufa? Ulipovunjika umoja wa Afrika mashariki Kenya walibaki na viwanda viwili tu vya nguo...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Kweli hii nchi yetu kichekesho. Wakati viwanda vinavyozalisha vyakula kama tanganyika packers vimekufa na vingine kama vya zana za kilimo nguo nk, viwanda vya kutengeneza ulabu, na sigara ambavyo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
MAANDAMANO KUPINGA MAUWAJI YA KINYAMA YANAYO FANYWA NA JESHI LA POLISI TANZANIA KUFANYIKA WASHINGTON DC. MAREKANI Mandamano ya kupinga mauwaji ya kinyama yanayofanywa na Jeshi la Polisi Nchini...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wanajamvi, Muda si mrefu natokea kwenye tukio la ajali ya Hiace iliyopinduka eneo la barabara ya Misigiri-Kiomboi na kusababisha vifo vya watu watatu. Baada ya muda wa nusu saa, Mh. Mwigulu...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
wadau wapendwa naomba kuuliza swali. Katika pilikapilika za maisha nimekutana na shangingi la mbunge limewekwa kibendera kama gari la mheshimiwa wa serikali likimzungusha mbunge jimboni mwake.je...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
CHADEMA baraza la vijana kata ya kitunda BVC wanalaani mauaji ya mwana habari wa kituo cha habari cha chanel ten DAUD MWANGOSI huko iringa. Kwani ni pigo kwa wanaharakati wote Tanzania na dunia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Salaam wana JF Nasikitishwa sana, na watanzania wanasikitika sana na jinsi mambo yanavyokwenda ndani ya nchi yetu, Sasa hivi Tz imekuwa siyo nchi salama tena kwa kuishi binadamu na kufanya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau nimesikitika sana kwa kitendo cha baba rizi 1 kutohudhuria mazishishi ya wanajeshi walio kufa sudani... Hatimae amekwenda kampala,,hii ni jinsi gani inaonesha jeshi letu halithaminiwi...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
WATU wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wamevamia na kutumia mbinu za uhalifu wa hali ya juu na kupora magunia ya fedha kutoka Benki ya Biashara ya Afrika (CBA), iliyopo barabara ya Nyerere...
0 Reactions
66 Replies
8K Views
Ni baada ya maandamano makubwa ya leo ....Souce:ITV BREAKING NEWS
0 Reactions
42 Replies
1K Views
Minister for communication, Science and Technology said yesterday that physical address and post code are crucial for economic, business, political and delivery of social services in achieving...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Harambee ambayo ilikuwa ifanyike kesho Kata ya Luduga Njombe imepigwa Marufuku na Waziri Lwenge CCM kwa mda usiojulikana na taarifa hizo wananchi wata ambiwa kesho wakati Jukwaa limesha...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wanafunzi wanaposoma katika mazingira magumu kwa kukosa madawati hawawezi kuelewa soma, shule nyingi nchini zina upungufu wa madawati kutokana na ruzuku ndogo katika sekta hiyo. Picha na Mtandao.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
AsTanzania grapples with drug abuse, statistics now estimate that the country is home to an estimated 25,000 heroin addicts, the Minister for Health and Social Welfare, Dr. Hussein Mwinyi revealed...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani hii thread inanihusu mimi binafsi, changieni... Tumemlilia sana DAUDI MWANGOSI, lakn mm ntashangaza wengi kwa sema kuwa wakati mwingine "heri kufa kama MWANGOS ...", na kwa kweli mimi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mjadala wa leo asubuhi star tv kuhusu mchango wa waandishi wa habari katika kuhakikisha kuwa utawala wa sheria na utawala bora vinazingatiwa umenikuna ilivyo. Nimeufuatilia sana mwanzo hadi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimesoma kuwa Board ya kahawa wanategemea kueport kahawa before tax 320Bn!sasa najiuliza kipindi cha nyuma kulikuwa na kiwanda cha kahawa hapo Moshi,sasa hawa jamaa Kahawa yao wanaitolea wapi au...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ukipita sehemu nyingi hususani za biashara. Utasikia,harufu ya udi kwenye baadh ya maduka hayo japokuwa si maduka yote. Je kuna faida gani inayopatikana pindi utakapowasha udi katika biashara yako...
0 Reactions
52 Replies
31K Views
Huyu jamaa toka kitokee kifo cha Daud Mwangosi amekua akililaan sana tukio lile na jeshi la polisi kwa kupotosha ukweli,lakini kwa mshangao leo asubuh kwenye kipindi cha asubuh nadhan kinaitwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…