gari la mbunge kupeperusha bendera ya chama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

gari la mbunge kupeperusha bendera ya chama

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Uda, Sep 7, 2012.

 1. Uda

  Uda JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 730
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  wadau wapendwa naomba kuuliza swali.
  Katika pilikapilika za maisha nimekutana na shangingi la mbunge limewekwa kibendera kama gari la mheshimiwa wa serikali likimzungusha mbunge jimboni mwake.je jambo hili ni sahihi?
  Kwa leo sitataja ni mbunge wa chama kipi ili mjadala uwe fair.
  Karibuni kwa uchambuzi.
   
 2. gobore

  gobore JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 17, 2009
  Messages: 730
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Kikanuni za bunge wabunge wanaruhusiwa kupeperusha bendera ya bunge kwenye magari yao na kwenye Ofisi zao za majimboni! Wabunge hawaruhusiwi kuweka bendera kwenye magari wakiwa katika mikoa ya Dodoma, Dsm na Zanzibar yote kwakua ktk hiyo mikoa kuna ofisi za bunge tayari ambazo zinawakilisha hiyo "authority" yao na pia njia ya kupunguza ghasia , You can only Imagine ingekuaje Dom kila mmoja akipeperusha bendera wakati wa Bunge! Mji ungechafuka

  Kama ungekua mwenyeji wa mikoa ya hapa kati Moro au Pwani pengine ungekua ushaona wakati wakisafiri wanapeperusha hizo ila wakifika Dom, bendera kapuni
  Hiyo ndo kadiri nijuavyo ni bendera ya bunge kuhusu bendera ya chama nadhani vyama vina taratibu tofauti tofauti as in nani wakuweka bendera kwenye gari
   
 3. Uda

  Uda JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 730
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  swali hili ni la msingi kwa kuwa kuna mbunge amebanwa kuwa asipeperushe bendera ya chama chake kwani yeye ni mbunge wa wananchi makada wa vyama mbalimbali.je zuio hilo ni halali?
   
Loading...