Maisha jamani: Tusilie sana wakati mwingine heri kufia mbali kuliko kutokuwa obama wa Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maisha jamani: Tusilie sana wakati mwingine heri kufia mbali kuliko kutokuwa obama wa Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NYAMKANG'ILI, Sep 8, 2012.

 1. N

  NYAMKANG'ILI JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 223
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Jamani hii thread inanihusu mimi binafsi, changieni...

  Tumemlilia sana DAUDI MWANGOSI, lakn mm ntashangaza wengi kwa sema kuwa wakati mwingine "heri kufa kama MWANGOS ...", na kwa kweli mimi naomba NIUWAWE kama MWANGOS - SITANII, MUNGU NISAMEHE.

  Mimi ni kijana mwenye shahada ya kwanza ya MARITIME TRANSPORT MANAGEMENT (SHIPPING), 1st class, na nina kazi nzuri na kwa sasa niko mwaka wa mwisho nikisoma shahada ya SHERIA (LLB), CHUO KIKUU HURIA; nimeoa na mke wangu kwa sasa anasoma MASTERS pale MUHIMBILI: TUNAMSHUKURU MUNGU mambo ni mazuri, na tuna mtoto mmoja. LAKINI ndugu zangu hata hivyo, pasipokujua kwa muda mrefu, kumbe nina bomu mwilini mwangu. MIMI mwenyewe kupitia kusoma vitabu nikilinganisha na dalili nilizonazo, nimejigundua kuwa ninaumwa ugonjwa usiopona, sio UKIMWI na bora ungekuwa UKIMWI, ugonjwa unaoitwa HUNTINGTON'S DISEASE (HD): ugonjwa huu ni mbaya hakuna wa mfano, hauna dawa. HD ni ugonjwa wa kurithi ambao kaadri siku zinavyoenda ndo hali ya mgonjwa inavyozidi kuwa mbaya (yaani progressive, wataalamu wanasema ni neuro degenerative progressive disorder). Ugonjwa unasababishwa na matatizo ktk CHROMOSOME 4 katika gene (mambo ya genetics); na mtoto aliyezaliwa na mmoja wa wazazi wenye HD ana 50% ya kupata ugonjwa huu mbaya. Dalili za awali za ugonjwa ni kutetemeka kama una dance, chorea wanaita, na baada ya miaka kama mitatu tangu dalili kuanza mgonjwa atakuwa hawezi hata kujitawaza yeye mwenyewe, anakuwa totally disabled (ama kweli hujafa hujaumbika) na atakufa baada ya miaka 15 hadi 30 tangu ugonjwa umuanze (hebu fikiria!): heri NINGEKUWA MWANGOSI.

  NIA yangu ya kusoma sheria nilitaka niwe OBAMA WA TANZANIA, kwa sa2 haitawezekana. BAADA ya miezi kama 12 ijayo nitashindwa kuandika, hivyo nitaachishwa kazi, na majonzi katika familia yangu yatatawala kwa miaka 20 kabla mauti hayajanifa, huku nikiwa nimechokwa na kila mtu isipokuwa MWANAGU, labda NA MKE WANGU; ntakuwa nimechoka, nimekonda vilivyo. NDUGU zangu sipati picha pale kipato chetu cha familia kitakapopungua kwa zaidi ya asilimia 80 pale ntakapokoma kazi, pension itakuwa hakuwa maana nta-retire very young, that is ni my late 30s; sipati picha pale mke wangu atakapo nihitaji na kileleni asifike (wakati tangu tuanze hatujawahi hata siku kufanya na asifike kileleni), atalia mno: nashindwa hata kumuambia naumwa ugonjwa huo - HERI NIWE MWANGOS, watalia mwaka mmoaja kisha wataendelea na maisha, kuliko kuwa na baba asiye na la kufanya kwa miaka 20... MUNGU NISAMEHE

  NAOMBA nisijifanye DR, ma-DR waliomo humu watachangia kuhusiana na HD ...
   
 2. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Dah!! unatia huruma mkuu, lakini uwe na imani kamanda. Mwenyezi Mungu kakuchagua wewe kuubeba huo mzigo. Kwa hiyo shukuru na umuombe akufanyie wepesi, huenda hali isiwe mbaya kiasi hicho. Muombe Mungu kaka.
   
 3. N

  Nhundu Member

  #3
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pole sana kaka
   
Loading...