Kibwana Dachi wa magic fm umehongwa au umetishwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kibwana Dachi wa magic fm umehongwa au umetishwa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by naumbu, Sep 7, 2012.

 1. naumbu

  naumbu JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 3,307
  Likes Received: 3,797
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa toka kitokee kifo cha Daud Mwangosi amekua akililaan sana tukio lile na jeshi la polisi kwa kupotosha ukweli,lakini kwa mshangao leo asubuh kwenye kipindi cha asubuh nadhan kinaitwa good morning magic amedai hakuna haja ya waziri wa mambo ya ndani na IGP kujiuzulu kwa sababu mh Nchimbi alikua nje ya nchi na IGP alikua ziaran mikoan!kwa hiyo hawahusiki na mauaji yale.Akadai mzee Ali Mwiny na Peter kisumo walijiuzulu kwa sababu walishiriki kikao cha kuruhusu watu wakamatwe na wakafia selo.Swali langu kubwa ni nini kimemfanya huyu bwana kutumia nguvu nyingi leo tena ya kupotosha kuwatetea hawa maboss wa wizara ya mambo ya ndani?wenyewe wanamuita "google"ina maana google hajui kwamba kuna kitu kinaitwa collective responsibility?hivi magic na chanel 10 hiv ndivyo mnavyomuenzi Mwangosi?njaa ni kitu kibaya sana!!
   
 2. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Huyo hana tofauti na Kibonde!!! Anajipendekeza, anawezapata ukuu wa Wilaya!!!!
   
 3. K

  Kayinga junior Senior Member

  #3
  Sep 8, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 152
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Baba kujiuhuzulu yataka moyo,allowances wale wengine?nchi za AFRIKA ni ndoto ila ASIA km JAPAN.INDIA
   
 4. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #4
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Anata ukuu wa wilaya si unajua siku hizi waandishi wa habari ndo wakuu wa wilaya, kuna nafasi mbili zipo wazi baada ya wakuu wake wa wilaya kufariki ambazo ni wilaya moja ya mkoa wa Llindi na wilaya ya Serengeti huko Mara so mwambie akazane
   
 5. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #5
  Sep 8, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Je waziri aliyejiuzulu kwa boti kuzama alikuwa anaendesha hiyo boti? Tatizo la baadhi ya watangazaji kutangaza kwenye radio au tv wamejifanya wanajua kumbe hakuna kitu,?
   
 6. s

  sanjo JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Uhuru wa kifikra ni pamoja kuwa mkweli daima hata kama unahatarisha maslahi binafsi. Huyu ni moja watu wasio na fikra huru. Ni mtu asiyeweza kuaminika hata kidogo kwa ni kigeugeu.
   
 7. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #7
  Sep 8, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  Inawezekana ukawa ndio mcimamo wa kituo chao.. Maana yote yasemwayo kwenye vipindi vina baraka ya uongozi.. Otherwise huyo mtangazaji angepigwa chini na kituo kutangaza kwamba hiyo habari haiwakilishi mcimamo wa kituo hucika.. All in all hawa watangazaji wetu wa ciku hizi ni kama Tigo rusha.. Wanakuja na nyongeza..
   
 8. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #8
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Huju jamaa ni m2 mzima ila ha2miagi akili,, k g
   
 9. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #9
  Sep 8, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 602
  Trophy Points: 280
  huyu jamaa wa Channel TEN & magic fm,

  ANAEJIITA kibwana dachi, mbumbumbu sana,

  anatabia ya kuropoka asijue kinachotoka kina

  madhara kwa jamii, TENA ASIJUE ANASIKILIZWA

  NA WENYE UPEO MKUBWA SANA, watanzania kama

  dachi ndio mifano ya Vijamba Koti
   
Loading...