Chadema Kitunda yatoa tamko mauwaji ya mwandishi!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema Kitunda yatoa tamko mauwaji ya mwandishi!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Asango, Sep 7, 2012.

 1. Asango

  Asango JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 234
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  CHADEMA baraza la vijana kata ya kitunda BVC wanalaani mauaji ya mwana habari wa kituo cha habari cha chanel ten DAUD MWANGOSI huko iringa.

  Kwani ni pigo kwa wanaharakati wote Tanzania na dunia nzima .pia tunatoa tamko kwa waziri wa ulinzi na mkuu wa jeshi la police WaJIUZULU MARA MOJA kwa kushindwa kusimamia ulinzi wa raia wakati ndio jukumu kubwa la polisi badala yake wanatumia nguvu nyingi na kusababisha mauaji ya raia wasio na hatia kama ilivyotekea kwny maandamano iringa na morogoro.

  Pia polisi waliohusika wachukuliwe hatua kali kwa kitendo hicho na sio kuishia kuunda kamati au tume zisizo na msaada wowote.

  IMETOLEWA NA mwenyekiti bvc
  Kata Kitunda
  Habibu Rajabu.
   
 2. N

  Ndole JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 352
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ni kweli au ........
   
 3. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Hii inatakiwaa kila kona nchi! nashangaa wengine wamekaaa kimyaa!! Good move Kitunda BVC
   
 4. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,663
  Likes Received: 3,317
  Trophy Points: 280
  Tuambiwe pia ni hatua gani zitafuata baada ya laana hizi,kwani sasa wa Tz tumekuwa mabingwa wa kulaani badala ya kuchukua hatua stahiki.
   
 5. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,767
  Likes Received: 2,494
  Trophy Points: 280
  nyie wakurya wa kitunda leo mlikuwa hamna ratiba ya kuuza mayai ndo maana mnalaani haya mauaji wakati polisi walisha sema ,jamaa alipigwa na kitu cha nncha kali
   
 6. Asango

  Asango JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 234
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hapo suala la ukuria linakuja vp?au ndo ukabila wenyw kuwa mstaarabu ndg yng
   
 7. B

  Bull JF-Expert Member

  #7
  Sep 8, 2012
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baada ya Waislam zaidi ya 350 kuwekwa ndani tulikutana na viongozi wake wa juu kuwaomba walaani vitendo vya serikali kuwaweka ndani waislam kwa sababu ya kugomea sensa.

  Chadema walidharau maombi yetu, tulitegemea kuwa ni chama cha kuwatetea watanzania wote kumbe tunajidanganya

  Inapotokea issue za kuwatetea wakiristo wako msitari wa mbele, mfano: Bungeni wabunge wa chadema walalzimisha serikali ya Zanzibari wasifunge Hoteli Mwezi wa Ramadhani kwa madai ya kuwapa wakiristo haki yao,

  Inapotokea Waislam wananyanywaswa hawataki kuingilia, je hiki ni chama kinawafaa watanzania au kuwagawa ??
   
Loading...