Waziri Lwenge na Philimon Luhanjo wamepiga Marufuku Harambee Kuhofia Viongozin wa Chadema Kualikwa ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri Lwenge na Philimon Luhanjo wamepiga Marufuku Harambee Kuhofia Viongozin wa Chadema Kualikwa !

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KING COBRA, Sep 8, 2012.

 1. KING COBRA

  KING COBRA JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,783
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Harambee ambayo ilikuwa ifanyike kesho Kata ya Luduga Njombe imepigwa Marufuku na Waziri Lwenge CCM kwa mda usiojulikana na taarifa hizo wananchi wata ambiwa kesho wakati Jukwaa limesha andaliwa.

  Pia Waziri Lwenge akishirikiana na Philimon Luhanjo wamepiga marufuku Harambe ya Michezo kwa maana ya Timu ya mpira akisema kuwa inawapa nguvu Viongozi wa Chadema kualikwa .

  Kikao cha Kamati ya Siasa CCM kimekaa Kikiwahusishwa Wafuatao:
  1.Waziri Lwenge
  2.Deo Sanga aka Jah People
  3.Jofrey Nyagawa
  4.Mpagike Hosea
  5.Msigwa Aboubakary adam
  6.Anna Upendo Gombela (mtu wa Karibu na Lwenge)
  7.Philipo Mangula

  Kundi hili ndilo linalo ratibu nguvu ya Kuua Upinzani Mkoa mpya wa Njombe na lengo lao ni kuhakikisha hakuna Shamla shamla za Chaedema katika Maeneo hayo hadi Chaguzi za CCM ziishe ambapo wamejipanga kushinda nafasi ndani ya Chama chao.

  Hata hivyo kumuzuka Mgogoro Mkubwa jimboni humo ambapo Wananchi wanakataa kuendesha na Waziri Lwenge kwa kuwa suala la Harambee ni la Wananchi na sio Mbunge kuwamulia !!!
  Source : Mjumbe wa Kamati ya Maandalizi ya Harambee Husika!
   
 2. C

  Concrete JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Safi sana kamanda kwa taarifa, wazalendo wa nchi hii wanamwaga hadharani taarifa za siri zinazofanywa na watawala kama hivi.

  Magamba kwa sasa wamechoka mbaya!!
   
Loading...